JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 9,120
- 9,727
Hili gazeti ungempelekea mhariri wako wa Uhuru alichapishe keshokutwa Jumatatu . Siku zote mjinga huwa haelewi ujinga wake hata akieleweshwa . Takataka.UDINI ni Upumbavu m'baya zaidi
Mfano mwengine mtu kutokea pwani
Afike MWANZA na kuwataka Wasukuma wawachukie watu wa Visiwani Ukerewe
Wkt wale ni Jamaa wamoja Dini moja wamechanganyikana kitambo
Kwa kitambo!!
Sasa uyu mtu wa pwani katika chuki zake za Kidini atafute visabababu vya kuokoteza lkn ivyo ivyo anavifanyia propaganda nyingi kufikia lengo lake!!
Ivyo ndiovo watu kutokea Bara wanavyofanya kwa Wazanzibar kujaribu kuwatenganisha na ndugu zao wa Pwani maeneo ya pwani
Tanga na Pemba Unguja Bagamoyo Dar es Sallam
Awa ni ndugu kabisa wameungana miaka mingi kupitia familia zao kuungana kupitia ndoa nk.
Huwezi kuwatenganisha kivyovyote
Ndio sawa kuwatenganisha watu wa Mwanza na Ukerewe ni vigumu pia
Lkn tatizo linakuja chuki za Wakristo Wachungaj kutokea Bara
Uko walipotoka wamekulia maeneo Ukristo unanguvu sana👈
hawakujua
Kwamba kuna maeneo Tanzania hii napo Uislamu ndio wenye nguvu zaidi ayo maeneo 👈
Sasa wanajibebesha zigo gumu kuwatengenisha kupitia Propaganda za kipumbavu
Mwalimu Nyerere alikuwa mbele ya Muda
Aliliona ili miaka mingi nyuma kwamba huwezi kuvunja muungano kati ya Zanzibar na Bara
Na iyo Bara kubaki Salama
Tanzania inaitegemea Dar es Sallam kwa %75 kwenye mapato yake
Iyo Dar es Sallam
wameungana na ndugu zao wa Zanzibar kwa DAMU
Unategemea kuna Tanganyika apo
Mikoa ya Pwani yote Wananchi wake watataka kubaki na Zanzibar kwa miongozo ya Viongozi wa kislam
Tanganyika ipo apo ‼️‼️
Bado kuelewa pata iyo picha jinsi ilivyo👈
Viongozi wa Kikristo wamewachochea Waumini wao kumchukia RAIS DK SAMIA SULUHU HASSAN kwasababu zao👈
Kwangu mm sitaki kujua Sababu zao kwangu nataka kakwambia ili jambo wameweza kwa %60 kama sio zaidi
Jifunze sasa kumbe Viongozi wa Dini wanaweza kuwaongoza Waumini wao kule watakapo👈
Sasa jiulize tena ilo wamefanya Viongozi wa Kikristo kwa waumini wao👈
JE
Viongozi wa kislam wanashindwa kufanya kitu kama icho icho kuwaunganisha Waislam wote kutokea Zanzibar Tanga Pwani zote
mana kazi yao itakuwa ndogo
Zanzibar inatengwa kwa Sababu za Dini yetu👈
Ndiomana mimi nasemaga ipo siku Wakristo mtakimbia jiji la Dar es Sallam na pwani yote kwa kubeba mfuko wa Rambo tu maana pakupita utakuwa una na chochote‼️
Lengo langu kukumbusha kiakili kile wanafanya Wachungaj na Viongozi wako wa Kikristo kwenye akili yako ni dhambi kubwa👈
WATANZANIA sote tunapaswa kujua hatari ya kuzungumzia Tanganyika kipindi kama ichi ni
hatari sana❌️
Kuliko Mzanzibar kuzungumzia kuvunja muungano wale tushawazoea👈
Wewe wa Bara usimuige
kabisa ❌️
Wewe Mtanganyika kataa popote kwanzia Kanisani kwako kiongozi yoyote mwenye kukuongoza uko uyo hatari kwako 👈
na mustakabali wako na kizazi chako cha leo na cha baadae 👈
Kama Sadaka mpe lkn mwambie
Kiongozi uku sipo❌️
Mkumbushe aya maneno
Kwamba na Viongozi wa kislam wakifanya kama wewe kweli tutakuwa na Taifa la Tanzania uko mbele safari ‼️
Mbona sasa tutafanya juhudi kukata mti nasisi tupo juu yake
Kiongozi umekosa maneno ya Mungu ya kutuunganisha badala ya kututenganisha ‼️‼️‼️
Kuzaliwa wewe muislamu au kuzaliwa wewe ni Mkristo
Kusiwe Sababu ya kuona mwezio ni adui yako
Yeye kazaliwa Muislamu nawewe ivyoivyo umezaliwa Mkristo kwanini muwe adui
Dini yake jina lake kabila lake wewe kinakusumbua nini kwake yeye kubaki vile kazaliwanavyo‼️‼️‼️
KUMBUKA TANZANIA ITAJENGWA NA WATANZANIA WENYE KUTUMIA AKILI ZAO VIZURI KUONA MBALI KUJUA HATARI KABLA YA KUTUFIKIA
Wale wameelewa somo Mungu wetu hawaongoze kwenye kupinga maono ya kutugawa kama Watanzania
Tukaing'oe mbegu mbaya ya Utanganyika FAKE watu wanalengo baya zaidi ya iyo
Tanganyika 👈
tusimama pamoja kupingananao wasitushinde👈
kushindwa kwetu ni kushindwa mustakabali wetu kama Tanzania moja✍️