PICHA: Ukweli wa asili ya Deo Ndejembi - Mama yake alikuwa na asili ya Kiarabu

kwa hiyo jamaa kumbe ni 3/4 black.. ubaguzi wa rangi haufai ,ilimradi ni raia wa tanzania.. sidhani kama ni dhambi kuwa VP ,tumpime katika utendaji wake wa kazi.

obama ni half black - half white na bado wamarekani walimkubali!a

Shabibi nae anasema mama yake ni wa Kilimanjaro
Juzi nmesikia jamaa(Deo)kakimbilia migombani huko UCHAGANI akijitanabaisha @ kaenda KUJITAMBULISHA UJOMBANI! Tujiulize,kama mamake ni MWARABU huko Uchagani kuna Waarabu? Iko namna hapo......!!!!!
 
Hata angekuwa Mchina what matter ni ufanisi wake wa kazi tu
Acha uzuzu na uchawa ww! What matters ni KATIBA YETU. Je,huyu ni Mtanganyika au Mzanzibara? Km Rais ni Mzanzibara, Katiba inasema Makamu lazima awe Mtanganyika...Full stop.
Kwann leo tuna mama wa Kizimkazi atuchagulie mtu ambaye ni Chotara wa KIARABU? Why??
 
Mods naomba uzi huu usiungwe kule

Pichani ni Mzee Pancras Mtemi Ndejembi ambaye ndie baba yake na Makamu rais mteule Deogratius John Ndejembi.

Mzee Pancras Mtemi Ndejembi ni moja ya makada wakubwa wa CCM na kiongozi mkongwe wa CCM Mkoani Dodoma Alihudumu kama Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma kwa miaka 25 kuanzia mwaka 1982 hadi 2007.

Pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa wenyeviti wote wa CCM wa Mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani hadi alipong'atuka mwaka 2007.

Mzee Pancras Ndejembi ana asili ya kabila la Gogo (Wagogo), kutokea Mkoani Dodoma, chimbuko la asili yake ni kutokea katika Kijiji cha Mkonze, kilichopo Wilaya ya Dodoma mjini, na hapo ndipo Mzee Pancras Ndejembi alipozikwa baada ya kufariki dunia mwishoni mwa mwaka 2018.

Mama yake na Deogratias Jonh Ndejembi alikuwa ni muarabu mwenye asili ya Tanzania, yaani chotara wa kiarabu kutokea pale kongwa hivyo maujinga ya kumuita kuwa ni mzanzibar ni rohi mbaya,husda,uchimvi ,uchawi na ukigagula kwa taifa letu

Kupotosha ili ionekane ametokea Zanzibar ni mipango ya kuvuruga Muungano wetu ,mshikamano na amani ya taifa letu pedwq

Deo ni mgogo asili kabisa wa Tanzania ,tuwapuuze

USSR
View attachment 3658483
Huyu marehemu mzee Pancras Mtemi ni Babu au ni Baba wa huyu Bwana Deo John? Nauliza tu!
 
Mbona ulitoa mada ya ki-chawa sana sheh?

Kwa nini hukuishia kutoa historia ya mhusika pekee, badala yake ukaanza kuwananga wale wote waliotoa taarifa tofauti na wewe?

Kuna ulazima gani wa kulaumu na kudhihaki watu katika mnyororo wa upashanaji habari?

Wewe unaiaminije habari uliyotulisha humu, ulizaliwa pamoja na mhusika na kuamini 100% ya uliyoongea kwamba ni kweli tupu?
 
wewe ndio hamnazo tena hamnazo kweli kweli.

It is specifically Article 47(3) of the Constitution. It states that a person should be nominated for Vice-President on the basis that if the President comes from one part of the United Republic, the Vice-President should come from the other part of the Union.
Kwa maana hiyo, wote wametokea upande mmoja wa muungano?
 
Kuna jamaa mpemba kule zanzibar ccm yuko sana kwenye taarifa za habari.
Yule amefanana sana na huyu bwamdogo kila kitu.
Huwa kila nikimuona nawaza hapa huyu mzee wetu mgogo labda alipigwa za uso.
Anyway kitanda hakizai haramu
 
Historia yake inaonyesha mchango mkubwa katika uongozi wa CCM mkoani Dodoma kwa kipindi kirefu. Ni muhimu kuhifadhi historia za viongozi waliotangulia na kuelewa mizizi yao, kwa sababu zinasaidia vizazi vijavyo kufahamu historia ya uongozi na jamii zao.
 
Mods naomba uzi huu usiungwe kule

Pichani ni Mzee Pancras Mtemi Ndejembi ambaye ndie baba yake na Makamu rais mteule Deogratius John Ndejembi.

Mzee Pancras Mtemi Ndejembi ni moja ya makada wakubwa wa CCM na kiongozi mkongwe wa CCM Mkoani Dodoma Alihudumu kama Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma kwa miaka 25 kuanzia mwaka 1982 hadi 2007.

Pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa wenyeviti wote wa CCM wa Mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani hadi alipong'atuka mwaka 2007.

Mzee Pancras Ndejembi ana asili ya kabila la Gogo (Wagogo), kutokea Mkoani Dodoma, chimbuko la asili yake ni kutokea katika Kijiji cha Mkonze, kilichopo Wilaya ya Dodoma mjini, na hapo ndipo Mzee Pancras Ndejembi alipozikwa baada ya kufariki dunia mwishoni mwa mwaka 2018.

Mama yake na Deogratias Jonh Ndejembi alikuwa ni muarabu mwenye asili ya Tanzania, yaani chotara wa kiarabu kutokea pale kongwa hivyo maujinga ya kumuita kuwa ni mzanzibar ni rohi mbaya,husda,uchimvi ,uchawi na ukigagula kwa taifa letu

Kupotosha ili ionekane ametokea Zanzibar ni mipango ya kuvuruga Muungano wetu ,mshikamano na amani ya taifa letu pedwq

Deo ni mgogo asili kabisa wa Tanzania ,tuwapuuze

USSR
View attachment 3658483
Mzee Ndejembi si baba yake kwa taarifa zinazotolewa mwanzo, ni baba wa kufikia..
 
Alikuwa mtoto wa ngapi kwa huyo baba yake wa kufikia,
Pascal ulipotusimulia enzi za kota ulitujulisha ulikuwa mtoto wa ngapi, huyu alizaliwa Moshi hatujui alikwenda kufanya nini akitokea Dodoma! Je, alipozaliwa Moshi alimuacha baba na mama yake Dodoma? Je, wazazi wake teule hawakupata Watoto wengine?
Kuna yule jirani yangu wa Tandika toka utotoni kanitosa, amekuwa mzaliwa wa Unguja! Yote ni kheri japo walitukosesha kumzika baba yetu jirani yetu ili kulinda madaraka, yote ni kheri.
Tanzania ya leo uraia na asili ya viongozi ni utata mtupu.
 
Juzi nmesikia jamaa(Deo)kakimbilia migombani huko UCHAGANI akijitanabaisha @ kaenda KUJITAMBULISHA UJOMBANI! Tujiulize,kama mamake ni MWARABU huko Uchagani kuna Waarabu? Iko namna hapo......!!!!!
Wachaga walioana na wazungu, Moshi hakuna mwarabu hata wa kuchovya.
 
kwa hiyo jamaa kumbe ni 3/4 black.. ubaguzi wa rangi haufai ,ilimradi ni raia wa tanzania.. sidhani kama ni dhambi kuwa VP ,tumpime katika utendaji wake wa kazi.

obama ni half black - half white na bado wamarekani walimkubali!

Huto ndejembi sio baba yake mzazi huyo jamaa ni mzanzibar
Hivyo hawa wazanzibar wanaitawala tanganyika
 
Back
Top Bottom