Picha: Umegundua nini kuhusu Harmonize?

Picha: Umegundua nini kuhusu Harmonize?

Muda wote Konde kalewa. Muda woote kuanzia asubuhi hadi jioni.
 
Ila alikiba ni kauzu, mjeuri na mjivuni sana ndo maana hata huko insta amekataa ku m follow mtu yoyote, hata wasanii wakubwa kwake!!!

Hio picha ya pili jamaa alimkataa harmonize vibaya sana
Ana roho mbaya sana Alikiba ndo mana ata kila anachokifanya Hafanikiwi sababu ni kwamba...Harmonize kapatana na Baba Yake.
 
Tumegundua Konde ni mzee wa mikwido, anapenda kukwida
 
Anadandia sana wenzake Kwa nyuma inaweza kuwa dalili ya ushoga au umende,ila waliokumbatiwa wanasemaje?
 
Ila alikiba ni kauzu, mjeuri na mjivuni sana ndo maana hata huko insta amekataa ku m follow mtu yoyote, hata wasanii wakubwa kwake!!!

Hio picha ya pili jamaa alimkataa harmonize vibaya sana
YEs anajisikia sana na ana roho ya korosho mno
 
Ila alikiba ni kauzu, mjeuri na mjivuni sana ndo maana hata huko insta amekataa ku m follow mtu yoyote, hata wasanii wakubwa kwake!!!

Hio picha ya pili jamaa alimkataa harmonize vibaya sana
Hivi huwa ana hela?
 
Nilichogundua picha no mbili huyo jamaa anajisikia sana kujiona na mjivuni mno
 
Ali Kiba anajikuta nani?
Ila hata mm nisingependa kurukiwa hivyo kwa nyuma...
 
Back
Top Bottom