Picha: Unawajua watoto wa Ali Kiba? Kila mtoto na mama yake

Picha: Unawajua watoto wa Ali Kiba? Kila mtoto na mama yake

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

Tazama hapaAlikiba ni baba anayejivunia wa watoto watatu. Muimbaji huyo wa ‘Mwana' ameamua kuitambulisha familia yake hiyo kwa mashabiki wake katika kuukaribisha mwaka mpya 2015.

"Nawapenda sana watoto wangu," ameandika Kiba kwenye picha aliyoweka kwenye Facebook.

"Kingine ambacho kinabeba na kitaendelea kubeba uzito kwenye maisha yangu ni familia yangu na hasa watoto wangu. Wananipa FURAHA sana. Inshaallah Mwenyezi Mungu awalinde siku zote."
 
Hongera zake kama anawatunza vizuri hamna shida ingawaje si poa kwa yeye kama kioo cha jamii kuwa na watoto kutoka wamama 3 tofauti.
 
Ooooh! daimond kazidi umalayaaa, anabadili wanawake kama nguo, tanesco inamtafuta imuunganishe kwenye grid ya taifa, sasa nifah Genevoros Matola, Avemaria, atoto abou (muite na wenzenu) mkuje huku mumchambe na huyu mwana wenu kama kweli nyie umayala mwaujua, mumueleze na garama za umeme, mumpeleke clinic akajifunze nyota ya kijani na uzazi wa mpango, mumuambie bila kificho kuloweka huloweka kuku na bata tuu, sisi tunaojielewa!!! mnaelewa??? SISI hutumia dume mpaka tutakapo kuwa tayari.
 
Last edited by a moderator:

Hivi unamfahamu vizuri Avemaria wewe au unamsikia tu?
Anyways.....umesikika!
 
Last edited by a moderator:
Ndio maana.., kumbe hao vimayala vyake vipo hapa.. Ukimgusa tu vinaporomosha matusi.

Aibu yao.

At this very young age ametupa mbegu ka panya. Hasara kwa taifa..
 
sipati picha kama ni daimond ndio angekuwa ametotosha wanawake watatu tofauti mtaa wa pili wangemuita malaya kwa herufi kubwa kiasi gani???

I dont get a photo aisee....
Afu wote wa kike
 
Ndio maana.., kumbe hao vimayala vyake vipo hapa.. Ukimgusa tu vinaporomosha matusi.

Aibu yao.

At this very young age ametupa mbegu ka panya. Hasara kwa taifa..

umeonaaee!!! hapa hutawaona wakileta pua nakwambia wamefyata mkia fyataa, kucha kutwa kumuita almas wa watu malaya, kumbe kuna malaya wenye mpaka identity huku, haya wakuje wachonge midomo yao hapa
 
wale wataalam wa kumpangia daimond shamba la kulima kama vile ninyi ndio maafisa kilimo wa serikali mkuje hapa mniambie mlikuwa wapi mpaka mkaacha dushe la dushelele wenu likalima kina kona ya mji.
 
Ooooh! daimond kazidi umalayaaa, anabadili wanawake kama nguo, tanesco inamtafuta imuunganishe kwenye grid ya taifa, sasa nifah Genevoros Matola, Avemaria, atoto abou (muite na wenzenu) mkuje huku mumchambe na huyu mwana wenu kama kweli nyie umayala mwaujua, mumueleze na garama za umeme, mumpeleke clinic akajifunze nyota ya kijani na uzazi wa mpango, mumuambie bila kificho kuloweka huloweka kuku na bata tuu, sisi tunaojielewa!!! mnaelewa??? SISI hutumia dume mpaka tutakapo kuwa tayari.

mama zao ameshaachana nao hapo it means ana mwengne now,kuna wengine alitumia ndomu hapo hao hajawazalisha.mh kijana yupo vizuri nae kwa kuzivua vyupi
 
Last edited by a moderator:
Diamond angekuwa anatotosha sehemu zote angekuwa na watoto 100 sasa

unapaswa kupata mtoto pale tuu unapokuwa tayari, u know the meaning of wasafi??? ni mtu makini, anaejielewa, asiyeloweka kwani anajali afya yake na ya mwezi wake, anayejua anayejua athari za kutawanya mbegu kama shamba la ulezi, kwani anajua haki za watoto ni kulelewa katika misingi bora inayosimamiwa na baba na mama. sasa daah!! am very very disapointed na huyu king wenu kwa kweli. hivi mliokuwa karibu nae analea yupi sasa kati ya hao???
Hivi kwanza anathubutu vipi kujiita king??? king gani anagawa dudu kama pipi kijiti, eti kioo cha jamii. what a big shame??
 
Back
Top Bottom