Picha: Unawajua watoto wa Ali Kiba? Kila mtoto na mama yake

Picha: Unawajua watoto wa Ali Kiba? Kila mtoto na mama yake

Get a life, wewe hii conversation inakuhusu? Au wewe ni geni? Angalia hizo kanga zinakupeleka pabaya sana. Halafu kama umetafuta kanga usidhani kila mtu anafanya mambo hayo hayo.


Endelea kufanya kazi ya mwajuma.
Nakuambia hivi, ungejua source ya hiyo message mwenyewe ungeona aibu... in short unajichoresha jombaa! Kwenye post nimekuandikia: "My respect kwa huyo uliyem-quote siwezi kukuambia msingi wa hiyo post uliyo-quote manake kama ungefahamu wala usingeandika ulichoandika" Ungekuwa smart enough ungejiuliza kwanini nimeandika hivyo matokeo yake, kama kawaida yako unaendelea kung'ang'ania treni uliyoiparamia kwa mbele! Labda nikukumbushe alichosema ambae nilimwandikia post:
Jamani mbona mi niliielewa kwani na hii nayo ina utata?
Mwenyewe kaielewa post na ameiona haina utata wewe ambae sio mlengwa umeshupalia... utofauti gani basi na hao akina Mwajuma?
 
Nakuambia hivi, ungejua source ya hiyo message mwenyewe ungeona aibu... in short unajichoresha jombaa! Kwenye post nimekuandikia: "My respect kwa huyo uliyem-quote siwezi kukuambia msingi wa hiyo post uliyo-quote manake kama ungefahamu wala usingeandika ulichoandika" Ungekuwa smart enough ungejiuliza kwanini nimeandika hivyo matokeo yake, kama kawaida yako unaendelea kung'ang'ania treni uliyoiparamia kwa mbele! Labda nikukumbushe alichosema ambae nilimwandikia post:Mwenyewe kaielewa post na ameiona haina utata wewe ambae sio mlengwa umeshupalia... utofauti gani basi na hao akina Mwajuma?
Haya mkuu samahani kwa kukukwaza
 
Mwanaume huwaga si Malaya tangu zama. Ibrahimu Rafiki wa MUngu alikuwa na wengi wake na watoto, Isack, Yakobo, Mfalme Daudi duuu!! na Waislamu kuoa wanawake kumi sawa tu!! lkn siyo eti mwanamke uzae na wanaume 4 maweee!! wewe ni malaya tu!! kidume siyo Malaya ni rijali.

wanaokasema haka kajamaa ni wanawake tu!! nitashangaa km dume zima na midevu utamlaumu huyu dume la mbegu! Big up! tuko nyuma yako na mimi nitazalisha humuhumu JF km Mapanya wee!! subiri tu,

kuna vidada humu vinanichekea! chekea mara Nyaru weeee!! mara sare weee!!!....subiri nitafyatua bila aibu tuone!!
 
Back
Top Bottom