Picha: Unawajua watoto wa Ali Kiba? Kila mtoto na mama yake

mmmmmhhhhh!!!

kwani zimepita hata siku 2 toka hayo maneno hapo juu yasemwe, acheni Mungu aitwe Mungu bwanaaa, mtu anathubutu kumuombea mwenzake ugumba??? na wengi wao am sure hawana watoto, GOd have mercy on them, ila my prayer to Diamond. and tell u what he will always prove them wrong!! na aibu kubwa kujaza nafsi zao.
 
sawa ila mbona umeandika kwenye uzi wa kiba?
 
kwani zimepita hata siku 2 toka hayo maneno hapo juu yasemwe, acheni Mungu aitwe Mungu bwanaaa, mtu anathubutu kumuombea mwenzake ugumba??? na wengi wao am sure hawana watoto, GOd have mercy on them, ila my prayer to Diamond. and tell u what he will always prove them wrong!! na aibu kubwa kujaza nafsi zao.

Kwahiyo kama kuna mtu ana mimba itakuwa ni ya dildo au? Tusije kusikia malalamiko na huyu katoa mimba.
 
my buddy with due to respect just let it goo...!!!
geni mbona mi sina tabu. Kwani mtu akishapata kanga ukisema kuna tabu gani? Waache watakao kanga waendelee kukusanya. Mimi hapa burudani tu si unajua mwenyewe.

Point taken though.
 
Cra'p! Hivi wewe unayeingilia conversation za watu ambazo moja kwa moja zinawahusu wao na mimi ni nani aliyepata kanga... acha tabia za kicho'ko! My respect kwa huyo uliyem-quote siwezi kukuambia msingi wa hiyo post uliyo-quote manake kama ungefahamu wala usingeandika ulichoandika.... in short, tunarudi pale pale... next time acha kuingilia mambo yasiyokuhusu... na hiyo kanga wewe ndo inakuhusu moja kwa moja! Usivyo na aibu muhusika kanyamaza, wewe umekomalia... sasa kama sio tabia za kich'oko tuite nini?
 
Get a life, wewe hii conversation inakuhusu? Au wewe ni geni? Angalia hizo kanga zinakupeleka pabaya sana. Halafu kama umetafuta kanga usidhani kila mtu anafanya mambo hayo hayo.

Endelea kufanya kazi ya mwajuma.
 
Back
Top Bottom