Picha: Unawajua watoto wa Ali Kiba? Kila mtoto na mama yake

Picha: Unawajua watoto wa Ali Kiba? Kila mtoto na mama yake

Paula kilaki achana nao hao, wenye akili tumekuelewa jinsi ulivyo na busara nyingi..Kuna watu wakisikia neno malaya wanajua wanasemwa wao, hiyo inaitwa kujishuku ni kama kibaka akisikia kuna msako wa vibaka lazima akimbie mji.
 
Last edited by a moderator:
I missed you princess... kama hujakutana na old friends for a long time, first you need to say "hello!" Anyway, nitaanza mimi.. hello geniveros, u good? Heri ya mwaka mpya 2015.

Now to the point... kwamba sio kweli kwamba mashabiki wote wa Kiba wanamponda, nakubaliana na wewe kwa 100% ila kwa bahati mbaya, hii lugha wakati mwingine kwenye baadhi ya sehemu inakuwa gumu kidogo kufanya selection unless you're Kiswahili guru! Lakini hata ukisoma conclusion yangu kwenye hiyo post, inasema:"basi hata wale mashabiki wa Kiba wanokesha kila siku kutangaza umalaya wa Diamond basi bila shaka nao wana wivu na wangependa wagongwe wao!!!" Hilo neno wale lina maana kubwa sana hapo... kwamba, sio mashabiki wa Kiba bali "wale mashabiki wa Kiba" wanaoponda...! Mathalani, mara kibao nakuona ni namna gani unavyotoa "thumb up" kwa Zari kwahiyo nitakuwa mtu wa ajabu niamini kwamba mashabiki wote wa Kiba wapo in the same boat katika hili!

Kuhusu mashabiki wa Diamond wanaomponda... let me tell you this my princes! Diamaond alikuwa na mashabiki wa aina mbili... aina ya kwanza ni wale mashabiki wake mwenyewe na aina ya pili ni wale ambao walienda kwa Diamond kwa ajili ya Wema. Lakini pia kuna kundi moja dogo... hawa ni wale ambao wanampenda Diamond at the same time wanampenda Wema! Sasa wale unaowaona wanamponda Diamond, majority ni wale ambao walipanda boti la Diamond kutokana na Wema... baada ya Wema kuwa out, sasa ndo wamehamishia hasira zao kwa Zari... Sina hakika kama wakati Diamond yupo na Penny ulikuwa umeshajiunga JF lakini hata kama ulikuwa bado, si ajabu ulikuwa unafuatia posts as a guest. Hao "mashabiki wa leo wa Diamond" wanaomtukana Zari, kwa kiasi kikubwa ndio hao hao waliokuwa wanamtukana Penny!!!! Hao, mahaba yao yapo kwa Wema zaidi kuliko kwa Diamond!!

miss u too my friend kimyyyaaaaaa
upo wapi?
nimekuelewa sana na ndo ilivyo mfano mie simkubali mondi but nakubali mahusiano yake na zari the boss...!!!
 
Last edited by a moderator:
miss u too my friend kimyyyaaaaaa
upo wapi?
nimekuelewa sana na ndo ilivyo mfano mie simkubali mondi but nakubali mahusiano yake na zari the boss...!!!
Nimekuvamia mahali...

Na hilo kuhusu Zari na Mond... hakuna kitu ambacho mashabiki tunakosea kama ni ile hali ya kumpenda mtu pamoja na mabaya yake na maovu yake yote mtu na kutompenda mtu au kumchukia mtu kwa maovu na mazuri yake yote!!! Kwamba, as long as huyu simpendi, basi chochote kinachomuhusu yeye sitakipenda imma faima!
 
Watoto ni wake. Siyo sababu ya kutamba.

Ally kiba roho yake siyo nzuri. Ukubwani atapata sshida.

Hata Michael Jackson aliweza kutengeneza watoto.
 
Paula kilaki achana nao hao, wenye akili tumekuelewa jinsi ulivyo na busara nyingi..Kuna watu wakisikia neno malaya wanajua wanasemwa wao, hiyo inaitwa kujishuku ni kama kibaka akisikia kuna msako wa vibaka lazima akimbie mji.

nimeshajiongeza mkuu yule alitumwa, mwanzoni nikidhani kachanganya habari, kumbe stress are killing them
 
Last edited by a moderator:
nimeshajiongeza mkuu yule alitumwa, mwanzoni nikidhani kachanganya habari, kumbe stress are killing them
we mdada nimekukubali sana umekua muungwana adi mwisho achilia mbali matusi uliyokua unatukanwa, nimefatilia post zako kuanzia mwanzo adi hapa umejitahidi kua na hekima bila chembe ya lugha chafu considered kua wote mliokua mnabishana ni ladies kwa ninavyowafahamu lazima wote mngeishia kurushiana mitusi na mwisho kuambulia ban bila kusahau kuwapa faida memberz wengine tunaopita kimyakimya. Safi sana hivyo ndivyo GREAT THINKERS ARE SUPPOSE TO BE. BIG UP!!!!!!
 
yule alikuwa anatafuta umaarufu, ninashukuru sana i didnt buy her shits otherwise jana ndio ungekuwa mwisho wangu hapa jf kwani ningekula ban ya maisha.
 
Wana wa Adam siku zote hawana jema, watasema kwa lolote mtu afanyalo. Walisema kiba shoga, kisa? Haweki mahusiano yake wazi na anajipenda. Lady jd hana mtoto kwenye ndoa yake, watu wakasema, oooh, mgumba! Mond ameweka mahucano yake wazi, "oooh, malaya tu, hana mbegu, mbegu zake zote viza!" Kiba kawaonyesha watoto wake," oooh, atumie nyota yA kijani!"
Sote tunajua namna mahusiano yalivyo magumu siku hiz. Siwezi mlaumu au kumshutumu yeyote kuhusu sexual relationship yake, cause am not in her/his shoes. Yeye mwenyewe ndio anaejua anayo yapitia, mie nabaki kuwa mtazamaji tu.
Kiba, Mond na wengine wote ambao hampo stable kwenye relationship, Mungu awajalie mpate right patners ambao mnao watafuta. Na Mungu awape ujasiri wa kuwalea watoto wenu kwenye maadili yafaayo
 
Watu kweli wamevurugwa maana swahiba Kiba kapiga HatTrick(bao 3) safiiiiiii mnalalama wakati mama ake anaitwa bibi kama mtu unaweza kulea zalisha hata 100 ndio kilichotuleta duniani,mbona hao wengine wanakufa bila kuacha alama kama Kanumba mnaishia kulia kua angeacha hata mtoto na mwingine daily analia kwenye media na wimbo kaimba kua vicheche vyake havitaki kuzaa ikamaanisha anatamani kuitwa baba na jibu jepesi hata yeye pia ANALOWEKA kama sisi.
 
Post nimemuandikia Avemaria na ndio maana nime-mention ID yake! Good enough, wala haioneshi kwamba hiyo post inaweza kumuhusu mtu mwigine yeyote yule, either as I group or individually! Now the question: Are you Avemaria?! If YES, I'll answer your question, if NO, then am sorry to tell you that, consider the post as a none of your business because the post meant to Avemaria and I had similar conversation with her several weeks ago!

Jamani mbona mi niliielewa kwani na hii nayo ina utata?
 
Last edited by a moderator:
Post nimemuandikia Avemaria na ndio maana nime-mention ID yake! Good enough, wala haioneshi kwamba hiyo post inaweza kumuhusu mtu mwigine yeyote yule, either as I group or individually! Now the question: Are you Avemaria?! If YES, I'll answer your question, if NO, then am sorry to tell you that, consider the post as a none of your business because the post meant to Avemaria and I had similar conversation with her several weeks ago!
From your previous posts I know you are better than this. If you really think it was meant for Avemaria alone then you should have used private messages. Hivi watu mkoje? We unaweka posti public halafu ukijibiwa eti umemwandikia fulani. Kwa hiyo ulitaka tuone jinsi unavyojua kushauri??!!
 
Kwamba alitumwa, alikuwa anatafuta umaarufu. Lol like someone was waiting for so long for such chance to happen???????. Kiruuuuuuuuuu ngoja nifike safari yangu!
 
Back
Top Bottom