Kwanza, tukumbushane kwamba suala la Kiba kuwa na watoto watatu kwa mama watatu tofauti sio jipya... kila anayefuatilia burudani anafahamu; so kama watu wangekuwa wanamfuatilia wangeweka hizo posts kuhusu hilo suala lakini watu walikuwa wanapotezea coz' wenye akili zao wanaona no upuuzi kufuatilia maisha ya mtu! Hata huyo aliyeleta hizo habari wala haionekani kwamba ni shabiki wa Diamond. Kwahiyo hoja ingebeba uhalali wa kwamba anafuatilwa angalau ingekuwa hao mashabiki wa Chibu kila siku wanaleta hiyo issue lakini huwezi kukuta... in contrast, haikuchukui dakika kadhaa kuona mashabiki wa Kiba wanavyohangaika na ugumba na umalaya wa Chibu.. kwangu mimi, huu ni upuuzi!
Pili, kama hilo ambalo hata mashabiki wa Chibu hawajawahi kulileta hapa na wameanza ku-commnt baada kuleta wenyewe lakini unaona hao ni sawa na wanawake waliotaka kuzaa na huy Kiba.. what about wanaume watu wazima ambao wanashinda jukwaani kila siku wakikesha kutangaza ugumba wa mwanaume mwenzao? Wanaume wanaokesha majukwaani kutangaza umalaya wa mwanaume mwenzao?
But all in all, hoja ya msingi hapa ni moja! Ni ujinga watu kuanza kushupalia maisha binafsi ya mtu ambae wala huna uhusiano nae! Mtu kama unampenda Kiba, penda muziki wake hayo mengine ni ya kwake and no one else' business! BInafsi, nafuatlia na kusikiliza muziki wa wote wawili ingawaje namkumbali zaidi Diamond kutokana na struggles zake! Hao wengine ambao wanakana kwamba wana chuki lakiniukifuatilia post zao zimejaa chuki lakini ukiangalia kwa makini hakuna kinachowajaza chuki zaidi tu ya kuonakwamba kijana anajituma na kupata mafaniko!! Lakini kwa upande mwingine, ikiwa kama Diamond anatembea na bi mkubwa au hana uwezo wa kuzaa (tena hizi ndo hoja za kipuuzi zaidi), hilo ni suala lake yeye na famili yake... Kwa mfano, mama mzazi ameonakana si mara moja akiwa amepiga picha na Zari... sasa ikiwa mama mzazi amekausha, wengine inawahusu nini? Au ndo kama conclusion yako inavyosema!?