xfactor
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 1,511
- 1,289
Sasa ndio nimeamini kuwa Ali kiba yupo kushindani na Dimond. Mwanzo nilikuwa namuona kama hana time na hii bifu.
Siku zote alikuwa wapi kutoonyesha picha za watoto wake? Yani kasubiri Dimond kuongelea swala la wanawake wake kutoa ujauzito na watu waanze kuongela kuwa dimond huenda hana uwezo wa kizalisha ndio na Yeye kaweka picha za Watoto wake!! This is absurd