Picha: Unawajua watoto wa Ali Kiba? Kila mtoto na mama yake

Picha: Unawajua watoto wa Ali Kiba? Kila mtoto na mama yake

watu wanatokwa na povu kisa kiba kaitwa ma.laya.teh teh teh.
ckujua kuwa tnzania ni daimond,wema na wasichana wa bongo muv ndo wana haki ya kuitwa mala.ya lakini kwa wengine ni kosa la jinai
 
Tazama hapaAlikiba ni baba anayejivunia wa watoto watatu. Muimbaji huyo wa ‘Mwana’ ameamua kuitambulisha familia yake hiyo kwa mashabiki wake katika kuukaribisha mwaka mpya 2015.

“Nawapenda sana watoto wangu,” ameandika Kiba kwenye picha aliyoweka kwenye Facebook.

“Kingine ambacho kinabeba na kitaendelea kubeba uzito kwenye maisha yangu ni familia yangu na hasa watoto wangu. Wananipa FURAHA sana. Inshaallah Mwenyezi Mungu awalinde siku zote.”

#BobMarley wa enzi zetu. Safi sana kijana angalau tofauti na celebrities wengine kama mwenzangu Kanumba hakuwa hata na wakusingiziwa
 
Paula kilaki data please and please naomba muwaombe radhi watanzania wenzetu..tusisahau licha ya tofauti zetu za kisanaa we're Tanzanians. data hata one day binadamu hawezi kuwa nguchiro,kwa hilo linatosha kabisa kuomba msamaha tena wa dhati.
Paula kilaki my sister ile comment yako ulivyoiweka mwanzo ndo imezua balaa lote.
Ulivyoelezea Mara ya Pili what you meant ikawa too late tayari kuna damages done.....hukutakiwa kuendelea shikiria msimamo wako ili ujijustify hukumaanisha ubaya,ila ulitakiwa tuu utumie uungwana na uombe radhi.....labda issue ni unajiuliza uombe radhi kwa lipi??? Omba radhi kwa kuleta controversy ktk mjadala na next time tuwe waangalifu ktk Yale tuandikayo(hiii ni kwa teams zote)
 
Last edited by a moderator:

Are u serious..!! Duuudde..!!!??
 
Last edited by a moderator:
this is what went bad with u Avemaria, Matola??? ngoja niwape ufafanuzi i started hapa hutawaona wakileta pua wamefyata mkia, kucha kutwa huita diamond malaya (nikimaanisha team kiba) kumbe kuna malaya huku (KIBA) mwenye mpaka identity (WATOTO) wanaoonekana kwenye picha, si ndio identity ya umalaya wake tungejuaje kiba kumbe nae hubadili wanawake kama nguo kama sio hao watoto?? Nikamalizia haya wakuje wachonge midomo yao hapa nikimaanisha team kiba. sasa nionesheni nilipomgusa avemaria NENO MSAMAHA LIPATE UHALALI.

"KUMBE KUNA MPAKA MALAYA WENYE IDENTITY HUKU, HAYA WAKUJE SASA WACHONGE MIDOMO YAO"

Wengine kiswahili tulijifunzia China sio? Halafu hapo ulikuwa unamsupport aliyeinitiate hilo neno, "Umeona eeeh" tena ukaitikia kwa mikogo yote.
Quotation yote ni wa wa wa mpaka mwisho alafu unakwepesha eti Kiba mwenye identity ya watoto 3.....I reject to buy that kind of cr.a.p aiseee!!

Btw; msamaha for what? Tumalize kama tulivyoanza!
 
Last edited by a moderator:
Du!Ila niwaambie kitu,Matusi sio mazuri kabisa hasa wewe data,mara nyingi kuna kundi la watu wakishindwa kuongea huwa wanakimbilia matusi,tena mpaka wanajisifu kuwa hawawezi kushindwa kwa matusi,blv me hakuna bingwa wa kauli mbaya hasa siku akikuminya mbavuni!!Msamaha ni jambo la kistaarabu sana kwani tsh. Ngapi?Vilevile hata usipotoa tunakufahamu kwa tabia yako wala hatushangai!!Namaanisha tabia ya hapa jamvini katika ushabiki wetu sitaki mjadala mpay mie...
 
Last edited by a moderator:
data,unaenjoy sana,wewe umetuita ilo neno kabisa,afu unapambiza tu,umeita tena neno lingine unapambiza tena!aisee kaka unayaweza!

Nawaacha na METHALI MBILI MTAFAKARI TEAM KIBA.

1. MSITUKANE MAMBA KABLA HAMJAVUKA MTO.

2. HAMJAFA , HAMJAUMBIKA.

.... .... Tafuteni MORAL LESSON wenyewe... ...

Kama mnataka fresh start wote tuombane msamaha.
 
Last edited by a moderator:
Ooooh! daimond kazidi umalayaaa, anabadili wanawake kama nguo, tanesco inamtafuta imuunganishe kwenye grid ya taifa, sasa nifah Genevoros Matola, Avemaria, atoto abou (muite na wenzenu) mkuje huku mumchambe na huyu mwana wenu kama kweli nyie umayala mwaujua, mumueleze na garama za umeme, mumpeleke clinic akajifunze nyota ya kijani na uzazi wa mpango, mumuambie bila kificho kuloweka huloweka kuku na bata tuu, sisi tunaojielewa!!! mnaelewa??? SISI hutumia dume mpaka tutakapo kuwa tayari.

Uzazi wa mpango kwani kazaa na mwanamke mmoja ?
Acha kiba asambaze ukoo wake
Au ungelizika kuona na yy anaishia kuchunwa chunwa kama X baba ubaya?
 
Last edited by a moderator:
Nawaacha na METHALI MBILI MTAFAKARI TEAM KIBA.

1. MSITUKANE MAMBA KABLA HAMJAVUKA MTO.

2. HAMJAFA , HAMJAUMBIKA.

.... .... Tafuteni MORAL LESSON wenyewe... ...

Kama mnataka fresh start wote tuombane msamaha.
Sio sababu ya kutosha kutuita sisi malaya au manguchiro!!Kama huoni ulipotereza basi tena!Kuhusu izo methali,waasisi wa hilo fumbo la imani sio sisi team Kiba ni media ya Bongo so u can't undo that!
 
Sio sababu ya kutosha kutuita sisi malaya au manguchiro!!Kama huoni ulipotereza basi tena!Kuhusu izo methali,waasisi wa hilo fumbo la imani sio sisi team Kiba ni media ya Bongo so u can't undo that!

3. Nyani haoni ...,.,
 
data,unaenjoy sana,wewe umetuita ilo neno kabisa,afu unapambiza tu,umeita tena neno lingine unapambiza tena!aisee kaka unayaweza!

Kaanza huyo data halafu na mwenzie akashabikia, sina shida na huyo data given ila huyo aliyetuita halafu anatuwekea implication za kisengery!

Na ndo maana nikamtolea mfano yeye alivyoitwa vodafasta alimlaumu mpaka nifah aliyelike ile post.....,.sasa ye leo kafanya nini pale? Return to the post #16 alafu iangalie vizuri ile conversation! Just for the two comments
 
Last edited by a moderator:
Paula kilaki data please and please naomba muwaombe radhi watanzania wenzetu..tusisahau licha ya tofauti zetu za kisanaa we're Tanzanians. data hata one day binadamu hawezi kuwa nguchiro,kwa hilo linatosha kabisa kuomba msamaha tena wa dhati.
Paula kilaki my sister ile comment yako ulivyoiweka mwanzo ndo imezua balaa lote.
Ulivyoelezea Mara ya Pili what you meant ikawa too late tayari kuna damages done.....hukutakiwa kuendelea shikiria msimamo wako ili ujijustify hukumaanisha ubaya,ila ulitakiwa tuu utumie uungwana na uombe radhi.....labda issue ni unajiuliza uombe radhi kwa lipi??? Omba radhi kwa kuleta controversy ktk mjadala na next time tuwe waangalifu ktk Yale tuandikayo(hiii ni kwa teams zote)

ukiniambia niombe radhi kwa kumu attack kiba in this yes i will do by assuming that team kiba hawakuwahi kumu attack diamond, kwa maneno ya kejeli. all this come baada ya avemaria kunielewa tofauti na anasema nimemuita yeye malaya which is not TRUE i asked her wapi nimekuita malaya she is not saying, i tried to explain but all in vein. sasa I AM APOLOGYZE TO YOU ALL KWA KUTOKUELEWEKA KWANGU.
 
Last edited by a moderator:
Sio sababu ya kutosha kutuita sisi malaya au manguchiro!!Kama huoni ulipotereza basi tena!Kuhusu izo methali,waasisi wa hilo fumbo la imani sio sisi team Kiba ni media ya Bongo so u can't undo that!

sijawaita malaya team kiba, stop turning this to your side i said kiba kuwa malaya as to compare to diamond, hii ya nimewaita team kiba malaya inatoka wapi???
 
Back
Top Bottom