oukey!! i got your point my, kumbeeee una serious bifu na mimi??? so it was like ngoja siku aingie kwenye angazangu?? nilishawahi tofautiana na wewe popote au ni kwa vile tu nimekutaja on my first comment??? nimekuita tu kishabiki my dear, kama team kiba kwa wale wachache ninaowajua, na hata ikitokea tunaingia into harsh conversations na mtu sikuwahi iweka personal, muulize
nifah tumekuwa tukibishana sana but hatukuwahi go bad like serious, we take it as funny na kila mmoja anapita vile, mbona
Matola kaja na tunabishana kidogo akapita zake, this is kind if people i meant ninapowaza socialization, ngoja nikuambie kitu mpenzi sijawahi chukulia vitu hapa jf such serious, just as you did. sorry anyway for tag up your name on bad mood.