Picha: Unawajua watoto wa Ali Kiba? Kila mtoto na mama yake

From your previous posts I know you are better than this. If you really think it was meant for Avemaria alone then you should have used private messages. Hivi watu mkoje? We unaweka posti public halafu ukijibiwa eti umemwandikia fulani. Kwa hiyo ulitaka tuone jinsi unavyojua kushauri??!!

mmmmh kiukweli situmiagi PM na nilishaifunga siku nyingi mno nadhani ndo sababu ilomfanya aniambie hapahapa.
 
Angeweka angalizo basi kuwa hii message ni ya Avemaria peke yake ili mtu kama mimi nisijisumbue kuisoma
 
am no longer in that i just said nashukuru siku jiengage into bad conversations with her as she was expected

Wakati unaanza mabishano nilikuelewa na kwakuwa me ni team kiba sikutaka ubishani ila ulivyimaliza kwa kusema alikuwa anataka umaarufu nimeona ulidhamiria kuchefua hali ya hewa.

Endelea lakini utapewa magadi .....
 
Hata mimi nimemshangaa... . !!!

Huyo ni moja kati ya watu ambao huwa wanajisahau sana, mtu akikaa kimya ndo anazidi kukutambia sasa ila hali ikishakuwa tofauti ndo anajidai mstaarabu. Akiambiwa ni mshari anabisha.....anyways, itafahamika tu!
 
sasa hiyo comment ya data imeunganishwa na yangu niliyomjibu data and conclusion drown kwamba paula kawaita team kiba malaya ndipo hali ya hewa ilipo chafukia

Nishakwambia we mwanamke, we ndo uliita watu, halafu nduguyo kaja anasema kuna vimalaya vyake humu but hakutaja jina na wewe ukaja ukamsupport na maneno yako...."umeona eeeh hawatathubutu kuleta pua zao humu, wamefyata mkia fyaaa and blah blah kibao ukamalizia na kutuita tena" ungeongea hayo maneno pasipo kumquote data ningekuelewa ila kwa hapo he made a statement and you comfirmed it, uliuvaa mkenge bila kujali kuwa mwenzio hakuita mtu na ile ilikuwa comment yake vile alivyofikiri yeye.

Btw, mimi kuitwa malaya sio issue ila umeniboa kuropoka kwako ilhali wewe ukiguswa tu kidogo teyari ushaonewa na kuanza kuseek mercy kwa wanajamii.
 
Chill out guyz.. Relax. Amani itawale.
 
From your previous posts I know you are better than this. If you really think it was meant for Avemaria alone then you should have used private messages. Hivi watu mkoje? We unaweka posti public halafu ukijibiwa eti umemwandikia fulani. Kwa hiyo ulitaka tuone jinsi unavyojua kushauri??!!
Una habari wewe ni mtu wa ajabu sana? Ulikuwa unatafuta sababu ya ku-argue na mimi, or? Who are you tell me how I'd communicate with a person I want? Ndio maana nimekuuliza are you Avemaria? If NOT, this's how Avemaria responded:
Jamani mbona mi niliielewa kwani na hii nayo ina utata?
Even in those old days hatukuwa tunawasiliana kwa PM, so kwanini unitake nim-PM? Yaani post moja kwa moja ametajwa Avemaria na ukisoma content moja kwa moja inamuhusu Avemaria personally, sasa wewe ni nani hata uingilie personal za wengine? Kama hufahamu, iko hivi: Ukiona post amekuwa mentioned someone, the post meant for him or her, PERIOD! Likewise, angalia content, is it general or specific for a named person, ukiona specific for a mentioned person fahamu wewe mwingine haikuhusu and only persona anayetakiwa ku-complain ni yule aliyekuwa mentioned! Ukikuta post imekaa hewani, ipo general, unaweza kujishtukia lakini am sorry to say it again, kama wewe sio Avemaria, the post is none of your business unless kama wewe ni msemaje wake otherwise try to your level best to behave.
 
Last edited by a moderator:
Jamani mbona mi niliielewa kwani na hii nayo ina utata?

Angeweka angalizo basi kuwa hii message ni ya Avemaria peke yake ili mtu kama mimi nisijisumbue kuisoma
NI maajabu haya... ni angalizo gani ulitaka niweke? Yaani naandika "Plz guys, this post only For Avemaria... come on! Umewahi kuona wapi hiyo? Jamvi hili hili au lingine? To mention her, and her only haikuwa enough kuonesha kwamba the post meant for her? Tena nimeanza "Do you remember this my Dear?" Bado hapo mtu hujafahamu tu kwamba post inamuhusu huyo aliyetajwa? Mwisho wa post nikamkumbushia hadi mambo tuliyokuwa tumeongea three years ago kwenye PM, bado tu mtu usifahamu kwamba this's two people's personal business?

Kuhusu kuisoma, kwanini ukatazwe kusoma? Shida inakuja pale unapojitwisha zigo na kulifanya lako! Let's stop this...
 
Last edited by a moderator:
Hivi Kuanzia huko hadi leo Diamond hana hata mtoto wa kusingiziwa? Au jogoo nusu mlingoti.
 
Una habari wewe ni mtu wa ajabu sana? Ulikuwa unatafuta sababu ya ku-argue na mimi, or? Who are you tell me how I'd communicate with a person I want? Ndio maana nimekuuliza are you Avemaria? If NOT, this's how Avemaria responded:Even in those old days hatukuwa tunawasiliana kwa PM, so kwanini unitake nim-PM? Yaani post moja kwa moja ametajwa Avemaria na ukisoma content moja kwa moja inamuhusu Avemaria personally, sasa wewe ni nani hata uingilie personal za wengine? Kama hufahamu, iko hivi: Ukiona post amekuwa mentioned someone, the post meant for him or her, PERIOD! Likewise, angalia content, is it general or specific for a named person, ukiona specific for a mentioned person fahamu wewe mwingine haikuhusu and only persona anayetakiwa ku-complain ni yule aliyekuwa mentioned! Ukikuta post imekaa hewani, ipo general, unaweza kujishtukia lakini am sorry to say it again, kama wewe sio Avemaria, the post is none of your business unless kama wewe ni msemaje wake otherwise try to your level best to behave.
Kama ni personal tafuta chumba mjifungie muongee. Huwezi kuja kwenye public forum uwapangie watu kujibu au kutokujibu quote.

We ni mzima kweli kichwani kweli? Yaani hutaki kujibiwa ila unadhani una haki ya kujibu wengine. Ndio maana kuna mtu mmoja alikuuliza ulianza kabisa kuongea kama wanawake ili tusikushangae baadaye. Inawezekana alikuwa sahihi sana.
 
NI maajabu haya... ni angalizo gani ulitaka niweke? Yaani naandika "Plz guys, this post only For Avemaria... come on! Umewahi kuona wapi hiyo? Jamvi hili hili au lingine? To mention her, and her only haikuwa enough kuonesha kwamba the post meant for her? Tena nimeanza "Do you remember this my Dear?" Bado hapo mtu hujafahamu tu kwamba post inamuhusu huyo aliyetajwa? Mwisho wa post nikamkumbushia hadi mambo tuliyokuwa tumeongea three years ago kwenye PM, bado tu mtu usifahamu kwamba this's two people's personal business?

Kuhusu kuisoma, kwanini ukatazwe kusoma? Shida inakuja pale unapojitwisha zigo na kulifanya lako! Let's stop this...
Wewe hata hujielewi mara hamkuwa mkitumia PM mara mlikuwa mnatumia. Chagua moja basi ueleweke. Kama uliona ni mambo yenu ungeenda PM. Acha kuleta ujuaji mwingi.
 
Kama ni personal tafuta chumba mjifungie muongee. Huwezi kuja kwenye public forum uwapangie watu kujibu au kutokujibu quote.

We ni mzima kweli kichwani kweli? Yaani hutaki kujibiwa ila unadhani una haki ya kujibu wengine. Ndio maana kuna mtu mmoja alikuuliza ulianza kabisa kuongea kama wanawake ili tusikushangae baadaye. Inawezekana alikuwa sahihi sana.
Wewe unapaswa kupewa kiwango kikubwa cha kupuuzwa! Kujibu quote ipi? Hivi mimi na wewe ni nani anatakiwa kutiliwa shaka kuhusu uzima wa kichwani mwake? Kini nimeshawahi kuku-quote zaidi ya wewe kudandia message ambayo nimemwandikia mtu mwingine huku hata ujumbe ukionesha kwamba unamuhusu yeye? Mbaya zaidi hata mwenyewe niliyemuandikia amekushangaa wewe unabaki kupiga kelele... hivi hudhani ndie unaetakiwa kuangaliwa ikiwa kichwani ni mzima? Nimeshawahi kuku-quote popote wewe? Nimeshawahi kuku-mention popote wewe? Hivi wewe unaedandia posts ambazo hazikuhusu na mimi ni nani mwenye tabia za kike?

Nakukumbusha, mwenyewe ambae nilimwandikia hivi ndivyo alijibu:
Jamani mbona mi niliielewa kwani na hii nayo ina utata?
Baada ya wewe kuendelea kukomalia kwa issue ambayo hata muhusika mwenyewe ameielewa kv sio mara yangu ya kwanza kuongea nae, akakujibu na wewe kwamba:
mmmmh kiukweli situmiagi PM na nilishaifunga siku nyingi mno nadhani ndo sababu ilomfanya aniambie hapahapa.
Sasa hivi hujishangai hata kidogo? Hivi mzima kweli wewe? Muhusika mwenyewe kaona okay... kaniambia mimi na kakuambia wewe pia, lakini bado unashupalia, we jamaa wa wapi wewe? Unatafuta nini? Hivi unavyoshupalia vitu visivyokuhusu kwa watu usiowajua, vipi ukisikia kwamba mimi na yeye ni ndugu? Jisikie aibu... mind your business! Jibu general post lakini sio kudandia post ambazo moja kwa moja zinaonesha ameandikiwa mtu specific
 
Wewe hata hujielewi mara hamkuwa mkitumia PM mara mlikuwa mnatumia. Chagua moja basi ueleweke. Kama uliona ni mambo yenu ungeenda PM. Acha kuleta ujuaji mwingi.
NARUDIA, wewe una matatizo! Kama una stress zako usizilete hapa! Ungekuwa unatumia akili kidogo tu ungegundua kwamba ni wewe ndie hujielewi wala kujitambua! Na kwavile hujitambui na unapenda kudandia treni kwa mbele ndio maana wala hufahamu huyo Avemaria nilianza ku-interact nae lini! Na kwavile umedandia treni kwa mbele wala hujui hizo msg nilizosema niliwasiliana nae kwa PM ni zipi na hizo ambazo nimesema tulikuwa hatuwasiliani kwa PM ni zipi!!! Narudia tena, hili suala halikuhusu ndio maana hulielewi na umekuwa ukiongea vitu vya ajabu... halikihusu na wala hulifahamu! Au unataka nikuwekee post zote ambazo nimekuwa nikiongea nae ili upate maono na uweze kujishangaa zaidi?? Vipi jombi? Suala la mwingine umejitwishwa na kulifanya lako.... MAAJABU HAYA hata baada ya huyo mwenyewe kukiri kwamba ni lake na hana tatizo nalo, we unakomalia tu... kheee! Kuna wachangiaji wengi kwenye hii mada lakini peke yako ndio umejibebesha zigo hili... HUJISHANGAI?

Mwisho unamalizia niache kuleta ujuaji mwingi... ndio maana nikakuuliza, ulikuwa na lako jambo na ulikuwa unatafuta pa kuliweka? Huo ujuaji ninaojitia nao ni upi? Kukuambia uache kuvamia mambo usiyoyajua chanzo chake? kama ndivyo, narudia tena... this issue is none of your business na wala hufahamu chanzo chake!
 
Wewe unapaswa kupewa kiwango kikubwa cha kupuuzwa! Kujibu quote ipi? Hivi mimi na wewe ni nani anatakiwa kutiliwa shaka kuhusu uzima wa kichwani mwake? Kini nimeshawahi kuku-quote zaidi ya wewe kudandia message ambayo nimemwandikia mtu mwingine huku hata ujumbe ukionesha kwamba unamuhusu yeye? Mbaya zaidi hata mwenyewe niliyemuandikia amekushangaa wewe unabaki kupiga kelele... hivi hudhani ndie unaetakiwa kuangaliwa ikiwa kichwani ni mzima? Nimeshawahi kuku-quote popote wewe? Nimeshawahi kuku-mention popote wewe? Hivi wewe unaedandia posts ambazo hazikuhusu na mimi ni nani mwenye tabia za kike?

Nakukumbusha, mwenyewe ambae nilimwandikia hivi ndivyo alijibu:Baada ya wewe kuendelea kukomalia kwa issue ambayo hata muhusika mwenyewe ameielewa kv sio mara yangu ya kwanza kuongea nae, akakujibu na wewe kwamba:
Sasa hivi hujishangai hata kidogo? Hivi mzima kweli wewe? Muhusika mwenyewe kaona okay... kaniambia mimi na kakuambia wewe pia, lakini bado unashupalia, we jamaa wa wapi wewe? Unatafuta nini? Hivi unavyoshupalia vitu visivyokuhusu kwa watu usiowajua, vipi ukisikia kwamba mimi na yeye ni ndugu? Jisikie aibu... mind your business! Jibu general post lakini sio kudandia post ambazo moja kwa moja zinaonesha ameandikiwa mtu specific

NARUDIA, wewe una matatizo! Kama una stress zako usizilete hapa! Ungekuwa unatumia akili kidogo tu ungegundua kwamba ni wewe ndie hujielewi wala kujitambua! Na kwavile hujitambui na unapenda kudandia treni kwa mbele ndio maana wala hufahamu huyo Avemaria nilianza ku-interact nae lini! Na kwavile umedandia treni kwa mbele wala hujui hizo msg nilizosema niliwasiliana nae kwa PM ni zipi na hizo ambazo nimesema tulikuwa hatuwasiliani kwa PM ni zipi!!! Narudia tena, hili suala halikuhusu ndio maana hulielewi na umekuwa ukiongea vitu vya ajabu... halikihusu na wala hulifahamu! Au unataka nikuwekee post zote ambazo nimekuwa nikiongea nae ili upate maono na uweze kujishangaa zaidi?? Vipi jombi? Suala la mwingine umejitwishwa na kulifanya lako.... MAAJABU HAYA hata baada ya huyo mwenyewe kukiri kwamba ni lake na hana tatizo nalo, we unakomalia tu... kheee! Kuna wachangiaji wengi kwenye hii mada lakini peke yako ndio umejibebesha zigo hili... HUJISHANGAI?

Mwisho unamalizia niache kuleta ujuaji mwingi... ndio maana nikakuuliza, ulikuwa na lako jambo na ulikuwa unatafuta pa kuliweka? Huo ujuaji ninaojitia nao ni upi? Kukuambia uache kuvamia mambo usiyoyajua chanzo chake? kama ndivyo, narudia tena... this issue is none of your business na wala hufahamu chanzo chake!

Teh teh teh. Tafuta kanga tu mkuu.
 
I dont get a photo aisee....
Afu wote wa kike

Me too, I dont get a photo..by the age of 40 atahitaji Coaster ya kupeleka watoto shule...aombe tu Mungu muziki usimtupe..mashabiki tutachangishwa mpaka tukome....mliojiunga fan club yake mkae chonjo.
 
Haya tena wapo wapi waleeee???? ni tasa, bunduki haina risasiii, kelelee nyingiiii chura wananafuuu, mkajipange upya ndugu zanguni kazi mnayo sio siri.
 
Back
Top Bottom