I missed you princess... kama hujakutana na old friends for a long time, first you need to say "hello!" Anyway, nitaanza mimi.. hello
geniveros, u good? Heri ya mwaka mpya 2015.
Now to the point... kwamba sio kweli kwamba mashabiki
wote wa Kiba wanamponda, nakubaliana na wewe kwa 100% ila kwa bahati mbaya, hii lugha wakati mwingine kwenye baadhi ya sehemu inakuwa gumu kidogo kufanya selection unless you're Kiswahili guru! Lakini hata ukisoma conclusion yangu kwenye hiyo post, inasema:"basi
hata wale mashabiki wa Kiba wanokesha kila siku kutangaza umalaya wa Diamond basi bila shaka nao wana wivu na wangependa wagongwe wao!!!" Hilo neno wale lina maana kubwa sana hapo... kwamba, sio mashabiki wa Kiba bali "wale mashabiki wa Kiba" wanaoponda...! Mathalani, mara kibao nakuona ni namna gani unavyotoa "thumb up" kwa Zari kwahiyo nitakuwa mtu wa ajabu niamini kwamba mashabiki wote wa Kiba wapo in the same boat katika hili!
Kuhusu mashabiki wa Diamond wanaomponda... let me tell you this my princes! Diamaond alikuwa na mashabiki wa aina mbili... aina ya kwanza ni wale mashabiki wake mwenyewe na aina ya pili ni wale ambao walienda kwa Diamond kwa ajili ya Wema. Lakini pia kuna kundi moja dogo... hawa ni wale ambao wanampenda Diamond at the same time wanampenda Wema! Sasa wale unaowaona wanamponda Diamond, majority ni wale ambao walipanda boti la Diamond kutokana na Wema... baada ya Wema kuwa out, sasa ndo wamehamishia hasira zao kwa Zari... Sina hakika kama wakati Diamond yupo na Penny ulikuwa umeshajiunga JF lakini hata kama ulikuwa bado, si ajabu ulikuwa unafuatia posts as a guest. Hao "mashabiki wa leo wa Diamond" wanaomtukana Zari, kwa kiasi kikubwa ndio hao hao waliokuwa wanamtukana Penny!!!! Hao, mahaba yao yapo kwa Wema zaidi kuliko kwa Diamond!!