Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Na yule mwenzake mbna haweki watoto wake au risasi butu
tatizo walikuwa wanazitoa
sipati picha kama ni daimond ndio angekuwa ametotosha wanawake watatu tofauti mtaa wa pili wangemuita malaya kwa herufi kubwa kiasi gani???
Ooooh! daimond kazidi umalayaaa, anabadili wanawake kama nguo, tanesco inamtafuta imuunganishe kwenye grid ya taifa, sasa nifah Genevoros Matola, Avemaria, atoto abou (muite na wenzenu) mkuje huku mumchambe na huyu mwana wenu kama kweli nyie umayala mwaujua, mumueleze na garama za umeme, mumpeleke clinic akajifunze nyota ya kijani na uzazi wa mpango, mumuambie bila kificho kuloweka huloweka kuku na bata tuu, sisi tunaojielewa!!! mnaelewa??? SISI hutumia dume mpaka tutakapo kuwa tayari.

Hivi unamfahamu vizuri Avemaria wewe au unamsikia tu?
Anyways.....umesikika!
Ndio maana.., kumbe hao vimayala vyake vipo hapa.. Ukimgusa tu vinaporomosha matusi.
Aibu yao.
At this very young age ametupa mbegu ka panya. Hasara kwa taifa..
Ooooh! daimond kazidi umalayaaa, anabadili wanawake kama nguo, tanesco inamtafuta imuunganishe kwenye grid ya taifa, sasa nifah Genevoros Matola, Avemaria, atoto abou (muite na wenzenu) mkuje huku mumchambe na huyu mwana wenu kama kweli nyie umayala mwaujua, mumueleze na garama za umeme, mumpeleke clinic akajifunze nyota ya kijani na uzazi wa mpango, mumuambie bila kificho kuloweka huloweka kuku na bata tuu, sisi tunaojielewa!!! mnaelewa??? SISI hutumia dume mpaka tutakapo kuwa tayari.
Diamond angekuwa anatotosha sehemu zote angekuwa na watoto 100 sasa