Picha: Unaweza kuishi kwenye hii nyumba?

Huyu bwana anataka ajenge nyumba kama hii hivyo anapima wazo lake yupo sahihi,basi bwana Mjanja we jenga tu ila kama uko daslamu hakika utakua kama hindi la kuchoma lile joto la daslamu na kibanda hiko majirani watasikia harufu ya mishkaki kumbe ni wewe unaungua tu ndani kwako mwenyewe
 
Nimekuwa south africa muda kiasi,tena sasa hii si ile shack niliyowahi kuishi,hii ni appartment kabisa, kwa mabaharia wa nchi kavu huu ni mjengo kamili,na unavimba kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…