Picha: Unaweza kuishi kwenye hii nyumba?

Picha: Unaweza kuishi kwenye hii nyumba?

Kama ni mlinzi analinda usiku?
Kama anavumilia baridi na mazingira ya kazini wakati wa lindo usiku, hawezi kushindwa himili joto la hilo kasri.

Kwanza ndani atalipiga makuti au magunia. Usifanye masihara na afisa usalama mkuu.
 
Huku bondeni tunaita mkuku huo,kwa mazingira hayo hapo ni mzanzi africa.Msimu wa jua kali watu wanashinda nje tu.
 
Cha msingi hapo ni kutafuta karatasi au magazeti mengi na gundi unabandika kwa gundi pote halafu unapiga ripu ya udongo iliyochanganywa na chokaa kidogo hutohisi joto tena! Chokaa plus udongo it's act kama insulator!
Kuna muda hilo bati likipigwa sana na Jua linaanzia kuota kutu na kutoboka hayo masufuria kutoboka lazima sasa hapo ndio utaelewa
 
Ngoja tusikilize matangazo ya wazamini
de.jpg
 
Mwana anayeishi humo ndani Anaonyesha ana unyama sana, kitanda tuu kilivyo inatosha kuelezea huyo mtu ni wa aina gani.
 
Back
Top Bottom