Picha: Unaweza kuishi kwenye hii nyumba?

Picha: Unaweza kuishi kwenye hii nyumba?

Nyumba kali, ndani angepiga ceiling bord kote kuzuia baridi na joto ingekuwa poa sana.
Vijana wa sasa wana kaujinga fulani na hawana ubunifu.

Mi nimekaa nyumba ya aina hiyo. Unaongeza ceiling height na openinga za kutoa hewa ya joto na veranda pana za kuzuia jua kupiga kuta, na nyumba nzuri tu ya bei nafuu.

Wachina wajenzi hata hapa nchini wana kaa nyumba aina hizo.
 
Back
Top Bottom