Sawa lakini why afanane na Ivan mm siamini kwamba Mtoto akikua atabadilika kutoka kwa Ivan kurudi kwa mondHuyo mtoto kafanana na ex wa Zari aisee had kichwani mashavu na pua, maybe akikua atabadilika maana mtoto hubadilika sura anavozidi kukuwa,
Sijui anajiskiaje aiseeWatu watamuua diamond kwa mawazo maana kibongo mwanaume akisikia tuhuma ka hizi huishiwa nguvu kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Zari bhana! Diamond alikosa hata katoto ka IFM kaliko feli akaweke ndani hadi aje afakamie huyu bi mdashi!
Kwann afanane na babaake wa kambo?Ni mapema sana kumfananisha huyo mtoto, kwenye umri huo waweza kumfananisha na wengi tu.
Kamuoa zari. Lini walioana tafadhali.Tumekalia majungu tu diamond sio mjinga yule anaakili sana mpaka kuja kumuoa zari ndo mana adi rais anatuponda tumekalia mitandao tu .kiukwer tumezidi.
Na ninahis mtoa post ni jinsia ya Ke mana tangu ndu yao aachwe hawajaridhika
X hubby wa Zarininani anaefananishwa na mtoto wa nasibu....?
Ni nani? hahahaha mbavu zangu mie, umefanya nikumbuke somo la historia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]***** huyu mtoto ...ni kabaka mutesa!!
Kweli.. ?X hubby wa Zari
Wew inakuuma nini, labda Tuanzie apoKwann afanane na babaake wa kambo?
Kweli warumi umekuaHapa aiseeh ngoja ninyamaze tu