Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie hamjui kuwa Zari alimchukia sana Ivan wakati akiwa mja mzito, ndo maana kazaa mtoto kafanana na Ivan, kwani hamjui hivyo?
Ndivyo mlivyo karirishwa....jiongeze"Kitanda hakizai haramu," waswahili walisema.Sasa kama kitanda kina uhai mpaka kizae,mimi sijui.
[emoji23] [emoji23]Sikuiz hatupimi umiliki wa mtoto kwa macho maana wengine macho yao yanamakengeza ....tunatumia DNA test aisee!!...maana hata simba sometimes anafanana na paka !!!...
Inavyoonekana ameridhika ht hizo DNA ni funika kombe tu.Namkubali sana Mondi ila hiz pics nimeziangalia zaid ya Mara moja,kama hamna editing bas zinanipa mashaka....Nitaamin mtoto wa Mond pale nitakapoona majibu ya DNA.
PnCKafanana na PNC
We mwenye Kazi unafanya nn huku ?watanzania.....
Hatuna kazi nyingne zaidi ya majungu?