Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Daaaaah hapa nimekumbuka ule wimbo wq bushoke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndoa itoke wapi ww wanadhini tuKwani ndoa ilifungwa lini mpaka ivunjwe.
ThanksNow thts cute
Hapo uko sawa
Mkuu hata mm namkubali kinoma afu naskia he's back on April na P.b season 5Ok but all in all namkubali sana sidhan kama kuna celebrity mwingine naye mkubali zaid ya huyo
Hahaaa"Kitanda hakizai haramu," waswahili walisema.Sasa kama kitanda kina uhai mpaka kizae,mimi sijui.
Wema wema jaman vibaya hivyo. Umeona zari anafaidi sana eeh ukaamua aminisha watu dai anadhulumiwa. WATOTO NI MALAIKA. DAI ASINGEKUA NA HELA SIDHAN KAMA HILI POVU LINALOWATOKA HUMU View attachment 474828 View attachment 474829 View attachment 474830
Tiffa malaika asie na kosa mmemtukana weee mpaka maneno yamewaisha now mmehamia kwa nillan jama
View attachment 474831
MNGELITOA!???
Sio mashavu tu mkuu angalia pia puaKazeni wa kwenu jamani!!! Mlimuandama Tiffa weeeh saivi kimya!!! Mmehamia kwa Nillan.
Hayo mashavu ndo yanawachanganya!
Namsubiri kwa hamu balaa, nina baadhi ya trailer zakeMkuu hata mm namkubali kinoma afu naskia he's back on April na P.b season 5
![]()
![]()
![]()
naona kaamua kuwajibu sasa diamond si useme wewe ndio umeandika haya![]()
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona kaamua kuwajibu sasa diamond si useme wewe ndio umeandika haya
Am sad mamaudaku nilirudishie jinsia yangu
Mtoto unaweza hata kurithi...hatujui wanachojua wazazi wawiliKaazi kweli kweli, pressure mnayo huku, kule Madale wazazi na watoto wao wawili ni happy happy tu.
Ndo maana huwa siamini kama Mzee Abdul ni baba halis wa mond why amchukie vile
Mm ndo naona hiyo April mbaliNamsubiri kwa hamu balaa, nina baadhi ya trailer zake
Itakuwa laanahio familia ina jini LA kusingiziwa watt basi
nilikuwa sikumbuki LA mzee abdul
Mahusiano ya diamond na zari ni long distance relationship,chochote chaweza kutokeademu yuko south,mume yuko south na watoto watatu.hapo dogo anapigwa sound tu ya fame,mkwanja ivan anao wa kutosha kiasi diamond kajiaminisha tajiri na visenti vyake kibongo,nyumba south kapigwa,watoto kapigwa,yaani full movie huyu mtoto wa madale ajifunze tu dansi linakuja mbele yake ,Zari sio future yake kwamba watazeeka wote hapo
ngoja tusubirie matusi au vijembe vyake kwenye mediaItakuwa laana
Anaweza akawa anakua, ataendelea kubadilika pengine atafanana na diamond, hofu hapa why afanane na Ivan? Mmh Mara mia angefanana na mama yake