Picha: Utata wa sura ya Mtoto wa Diamond

Picha: Utata wa sura ya Mtoto wa Diamond

Sifuatilii mambo haya lakini niliwahi sikia wimbo mmoja akiimba eti "kuchapiwa ni siri ya ndani" sasa nini ajabu!?
Alafu kama wengine wako tayari kuwatoa kafara hadi watoto wao ili 'nyote zing'ae', kuna shida gani sasa kama sharti la kung'arisha nyota kwa kumruhusu mama kufanya haya!? Hebu wacha tuiite hii opportunity cost!
Umeongea kwa kificho sana lakini nipende kikuhakikishia hiki ulichoandika ni sahihi na ndio ukweli wenyewe.

Vipo vingi.. Unaweza kupokwa uwezo wa kutungisha mimba au kunyimwa usitungishe!
 
Inabidi ujiangalie upya,ukikuta wadada wana ligi kaa kando kama kwel wewe ni real man
Am real man, kwann mnabishania vitu ambavyo havina faida upande wenu kivile hadi mnafikia hatua ya kutoleana mapovu, kama mm kuuliza hvyo kunaonyesha sio real man basi sawa ila hata Bible inasema "Heri mpatanishi maana atauruthi ufalme wa mbingu"
 
Tiffa mlimnanga hivyo hivyo ona sasa alivyofanana na babake now. Huyo mtoto ni wa diamond. Time will tell.
 
Kumbuka siku dogo alivyonunua nyumba South na kurusha hewani meseji za kumsimanga mume mwenzie, Zari alivyomuomba msamaha X wake, zile meseji ukisoma utagundua mengi Ivan na huyo mwanamke kama wameshawahi kuwa waganga wa kienyeji wanaweza kufanya lolote. Kijana kaingi che wehu.
Yaani mke S.A mume bongo,. X S.A unategemea nn zari na Ivan bado wanaendelea kufanya yao , nkaumbuka kuna Picha zilizagaa Ivan na zari walituma Picha kila mtu kwa wakati wake lkn swimming pool moja mondi kama kawaida yake keshapewa limbwata hasemi kitu
 
Aiseeee
Am real man, kwann mnabishania vitu ambavyo havina faida upande wenu kivile hadi mnafikia hatua ya kutoleana mapovu, kama mm kuuliza hvyo kunaonyesha sio real man basi sawa ila hata Bible inasema "Heri mpatanishi maana atauruthi ufalme wa mbingu"
 
Hivi vitu kama mwanaume nafikiri vinauma sana hasa pale unaposikia watu wananong'ona ati mtoto sio wako..

Sasa hapa wanatangaza kabisa mtandaoni.. Inauma sana!

Ukweli wa yote wanaujua diamond na mkewe!
Kama diamond analichukulia kawaida hili, basi wanaume wa kweli wanapungua
 
Sifuatilii mambo haya lakini niliwahi sikia wimbo mmoja akiimba eti "kuchapiwa ni siri ya ndani" sasa nini ajabu!?
Alafu kama wengine wako tayari kuwatoa kafara hadi watoto wao ili 'nyote zing'ae', kuna shida gani sasa kama sharti la kung'arisha nyota kwa kumruhusu mama kufanya haya!? Hebu wacha tuiite hii opportunity cost!
Hapo nimekuelewa
 
Back
Top Bottom