Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Ahaaaa tupo pamoja na jinsia jeKwenye mziki mzuri mkuu na sauti za kumtoa nyoka pangoni[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaaaa tupo pamoja na jinsia jeKwenye mziki mzuri mkuu na sauti za kumtoa nyoka pangoni[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Zari ni real gold digger yuko after money nothing elsedemu yuko south,mume yuko south na watoto watatu.hapo dogo anapigwa sound tu ya fame,mkwanja ivan anao wa kutosha kiasi diamond kajiaminisha tajiri na visenti vyake kibongo,nyumba south kapigwa,watoto kapigwa,yaani full movie huyu mtoto wa madale ajifunze tu dansi linakuja mbele yake ,Zari sio future yake kwamba watazeeka wote hapo
Mmh mkuu ina maana hujan'gamua hiyo Id yangu[emoji87] [emoji87]Ahaaaa tupo pamoja na jinsia je
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyu ni mtoto wa Mtikila nini????Babito kama nakuona vile kapigeView attachment 474925 mswaki basi
Kabisa
Oooooh nilikua sijafaham c unajua sio kila miss ni miss kweli wengine vibongeMmh mkuu ina maana hujan'gamua hiyo Id yangu[emoji87] [emoji87]
alileta leta mapenzi kapigwa mkwara na ivan mwenyewe kaomba poo kiganda,ndo hiyo diamond kutoa hela ya nyumba south,huyu dogo kilio chake hapo mbele ni wa kumuonea hurumaZari ni real gold digger yuko after money nothing else
Ila hii Hatari sana, the world is not fair! Kwa mtaji huu lazima tukaguane majumbani. Miss Charming hujawahi kuiba?Ndio ananiona na anazidi kunilinda kwani we Mungu hakuoni??
HahaaaOooooh nilikua sijafaham c unajua sio kila miss ni miss kweli wengine vibonge
Basi nakuomba badir hiyo avatar inajenga picha mbaya ukijumlisha na tabia za huyo uliye muwekaHahaaa
Mm simpatii Picha atavoamini kwamba mtoto sio wake ila Zari muuaji kabisaalileta leta mapenzi kapigwa mkwara na ivan mwenyewe kaomba poo kiganda,ndo hiyo diamond kutoa hela ya nyumba south,huyu dogo kilio chake hapo mbele ni wa kumuonea huruma
Mmh korede bello ana tabia gani mkuu[emoji86] [emoji86] [emoji86]Basi nakuomba badir hiyo avatar inajenga picha mbaya ukijumlisha na tabia za huyo uliye muweka
Punga huyo mkuu halafu kutokana na jina lako lilivyo na swaga poa ungeweka picha ya binti mremboMmh korede bello ana tabia gani mkuu[emoji86] [emoji86] [emoji86]
yani ukichokoza kidogo utaletewa ushahidi adi kuwa mama yako alizaa nje ya ndoa[emoji23] [emoji23] [emoji23] bongo raha mkuu sihami ng'oo
Aibu nyingine ni kumsimanga Wema kuwa hazai. Huwezi amini nina ndugu wa damu mke wake anahemea nje na yeye anajua hadi wazazi wake wanajua, ndoa ina mafanikio ya kipato kwa hiyo maisha yanaendelea kama hakuna tatizo. Kibaya mama anahemea kwa wanaume tofauti ili kuepuka kudaiwa watoo na baba zao.Kama ni kweli, hii ni aibu. Jinsi Dangote anavyowafanyia promo hao watoto kumbe ni Waganda!
Kumbuka siku dogo alivyonunua nyumba South na kurusha hewani meseji za kumsimanga mume mwenzie, Zari alivyomuomba msamaha X wake, zile meseji ukisoma utagundua mengi Ivan na huyo mwanamke kama wameshawahi kuwa waganga wa kienyeji wanaweza kufanya lolote. Kijana kaingi che wehu.Mm simpatii Picha atavoamini kwamba mtoto sio wake ila Zari muuaji kabisa
Nakushauri pia ubadilishe avatar ili uweze kueleweka na jamii na kututoa was was wana nchi wenzioMmh korede bello ana tabia gani mkuu[emoji86] [emoji86] [emoji86]