Picha: Utata wa sura ya Mtoto wa Diamond

Picha: Utata wa sura ya Mtoto wa Diamond

demu yuko south,mume yuko south na watoto watatu.hapo dogo anapigwa sound tu ya fame,mkwanja ivan anao wa kutosha kiasi diamond kajiaminisha tajiri na visenti vyake kibongo,nyumba south kapigwa,watoto kapigwa,yaani full movie huyu mtoto wa madale ajifunze tu dansi linakuja mbele yake ,Zari sio future yake kwamba watazeeka wote hapo
Zari ni real gold digger yuko after money nothing else
 
alileta leta mapenzi kapigwa mkwara na ivan mwenyewe kaomba poo kiganda,ndo hiyo diamond kutoa hela ya nyumba south,huyu dogo kilio chake hapo mbele ni wa kumuonea huruma
Mm simpatii Picha atavoamini kwamba mtoto sio wake ila Zari muuaji kabisa
 
Kama ni kweli, hii ni aibu. Jinsi Dangote anavyowafanyia promo hao watoto kumbe ni Waganda!
Aibu nyingine ni kumsimanga Wema kuwa hazai. Huwezi amini nina ndugu wa damu mke wake anahemea nje na yeye anajua hadi wazazi wake wanajua, ndoa ina mafanikio ya kipato kwa hiyo maisha yanaendelea kama hakuna tatizo. Kibaya mama anahemea kwa wanaume tofauti ili kuepuka kudaiwa watoo na baba zao.
 
Mm simpatii Picha atavoamini kwamba mtoto sio wake ila Zari muuaji kabisa
Kumbuka siku dogo alivyonunua nyumba South na kurusha hewani meseji za kumsimanga mume mwenzie, Zari alivyomuomba msamaha X wake, zile meseji ukisoma utagundua mengi Ivan na huyo mwanamke kama wameshawahi kuwa waganga wa kienyeji wanaweza kufanya lolote. Kijana kaingi che wehu.
 
Jamani mtoto kapata rapa wake kwani vibaya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom