Picha: Utata wa sura ya Mtoto wa Diamond

Picha: Utata wa sura ya Mtoto wa Diamond

Hivi vitu kama mwanaume nafikiri vinauma sana hasa pale unaposikia watu wananong'ona ati mtoto sio wako..

Sasa hapa wanatangaza kabisa mtandaoni.. Inauma sana!

Ukweli wa yote wanaujua diamond na mkewe!
 
Hivi vitu kama mwanaume nafikiri vinauma sana hasa pale unaposikia watu wananong'ona ati mtoto sio wako..
Sasa hapa wanatangaza kabisa mtandaoni.. Inauma sana!
Ukweli wa yote wanaujua diamond na mkewe!
Sifuatilii mambo haya lakini niliwahi sikia wimbo mmoja akiimba eti "kuchapiwa ni siri ya ndani" sasa nini ajabu!?
Alafu kama wengine wako tayari kuwatoa kafara hadi watoto wao ili 'nyote zing'ae', kuna shida gani sasa kama sharti la kung'arisha nyota kwa kumruhusu mama kufanya haya!? Hebu wacha tuiite hii opportunity cost!
 
Back
Top Bottom