lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 12,661
- 26,457
Umeongea kwa kificho sana lakini nipende kikuhakikishia hiki ulichoandika ni sahihi na ndio ukweli wenyewe.Sifuatilii mambo haya lakini niliwahi sikia wimbo mmoja akiimba eti "kuchapiwa ni siri ya ndani" sasa nini ajabu!?
Alafu kama wengine wako tayari kuwatoa kafara hadi watoto wao ili 'nyote zing'ae', kuna shida gani sasa kama sharti la kung'arisha nyota kwa kumruhusu mama kufanya haya!? Hebu wacha tuiite hii opportunity cost!
Vipo vingi.. Unaweza kupokwa uwezo wa kutungisha mimba au kunyimwa usitungishe!