Picha: Utata wa sura ya Mtoto wa Diamond

Picha: Utata wa sura ya Mtoto wa Diamond

Kazeni wa kwenu jamani!!! Mlimuandama Tiffa weeeh saivi kimya!!! Mmehamia kwa Nillan.
Hayo mashavu ndo yanawachanganya!
 
Wema wema jaman vibaya hivyo. Umeona zari anafaidi sana eeh ukaamua aminisha watu dai anadhulumiwa. WATOTO NI MALAIKA. DAI ASINGEKUA NA HELA SIDHAN KAMA HILI POVU LINALOWATOKA HUMU View attachment 474828 View attachment 474829 View attachment 474830
Tiffa malaika asie na kosa mmemtukana weee mpaka maneno yamewaisha now mmehamia kwa nillan jama

View attachment 474831
MNGELITOA!???

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona kaamua kuwajibu sasa diamond si useme wewe ndio umeandika haya
 
Am sad mamaudaku nilirudishie jinsia yangu
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
naona kaamua kuwajibu sasa diamond si useme wewe ndio umeandika haya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona kaamua kuwajibu sasa diamond si useme wewe ndio umeandika haya
 

Attachments

  • 14716634_1125139927555794_5756648347339325440_n.jpg
    14716634_1125139927555794_5756648347339325440_n.jpg
    21.3 KB · Views: 67
Naamini diamond atakua keshampima zamaaani, nyie mnahangaika huku.
Nakumbuka hata mtoto wa kwanza mlitaka kumgombanisha, likawashuka.
 
demu yuko south,mume yuko south na watoto watatu.hapo dogo anapigwa sound tu ya fame,mkwanja ivan anao wa kutosha kiasi diamond kajiaminisha tajiri na visenti vyake kibongo,nyumba south kapigwa,watoto kapigwa,yaani full movie huyu mtoto wa madale ajifunze tu dansi linakuja mbele yake ,Zari sio future yake kwamba watazeeka wote hapo
Mahusiano ya diamond na zari ni long distance relationship,chochote chaweza kutokea
 
Nyie hamjui kuwa Zari alimchukia sana Ivan wakati akiwa mja mzito, ndo maana kazaa mtoto kafanana na Ivan, kwani hamjui hivyo?
 
Back
Top Bottom