Picha: Utata wa sura ya Mtoto wa Diamond

Picha: Utata wa sura ya Mtoto wa Diamond

4ac4a159adb86ec255fe9dd064d6f607.jpg
e9ce9aff9b5dcac88a08730a14a56da4.jpg
f8f5e6cc06af87d92b98251459b3742a.jpg

Et jamani bado mbabisha tuuu ?? Aisee mapenzi upofu ila limbwata la kiganda nomaaa
 
Hizo picha zitakuwa zimewekwa na Ivan au mtu wake wa karibu kumchonganisha Zari na Diamond. Ona zilivyo nyingi.
 
Hamna lolote huyo ni mtoto wa platnum mtoto mdogo kuwa na mshavu hilo sio tatizo si anamabadiliko alafu hizo picha umechukua za karibu na pili we mtoa post jiulize unavyochochea ujinga we umefanana na babako kila kitu au na huenda we ndo mtoto wakusingizia angalia usije umbuka siku moja
 
Hamna lolote huyo ni mtoto wa platnum mtoto mdogo kuwa na mshavu hilo sio tatizo si anamabadiliko alafu hizo picha umechukua za karibu na pili we mtoa post jiulize unavyochochea ujinga we umefanana na babako kila kitu au na huenda we ndo mtoto wakusingizia angalia usije umbuka siku moja
Lakini usimshambulie na kumlaumu sana mwenzio. Hebu rudi nyuma tu kidogo ujiulize ile hali mtu anaoa tena msichana lakini anakuwa na mashaka daima kila akisikia eti alikuwaga na boyfriend udogoni, sasa na huyu aliyeoa mtu mzima anayemzidi sana kiumri tena ana mume wake halali na wana watoto utakuwa na mashaka au zaidi ya mashaka!?
Of course wale mnaoamini kwamba daimond ni icon ya Tanzania basi anatakiwa kureflect 'Utanzania' na mwisho wa siku huko anakotembeleaga au hapa nyumbani watajiuliza kuwa kulikuwa na uhaba kiasi gani wa washahuri na wasichana mpaka kijana wetu kuingia katika mtego huu wa kimahusiano!? Na vijana wetu wanajifunza nini katika hili?
Kuna vitu vingi ambavyo hatuwezi kuviona sasa lakini tusisahau kuwa majirani zetu wametupita katika kufikiri na hasa likija suala la kijana mdogo kutokea kwenye viunga kama Tandale. We might be thinking of having a millionaire but all over a sudden another person rises and call himself/herself a 'milionea-mwenza'.
 
Zari bhana! Diamond alikosa hata katoto ka IFM kaliko feli akaweke ndani hadi aje afakamie huyu bi mdashi!
 
Mondi anawakati mgumu sana kuongoza maisha yke mana anamaadui wengi Sana wanaomzunguka ambao wengi wao ni wale ambao wanataman ashuke kimzik
Isije ikawa huku unaongea ivi, ila ukiwa kwenye thredi ya makonda unatamani atumbuliwe.
 
Mimi mwenyewe kidogo nipigwe mwaka jana tu apa kazaliwa mtto jiran apo si gafla siku zinavyokwenda akaanza kufanana na mmi..[emoji2][emoji2][emoji2] so nawashauri muache tu hisia ambazo zinaweza leta picha za kwel..
 
usiombe mwanaume upitie ktk mazingira ya kuhisi au kuhisiwa umebambikiwa mtoto.

mbaya zaidi mtu ambaye jamii inamuhisi kuwa baba halali wa mtoto huyo,unamfahamu au unafanya naye kazi ofisi moja/mnaishi eneo moja.

huwa inauma sana.binafsi huko nyuma ktk ujana wangu nilishawahi pitia mazingira haya.

sikuchelewa, nilichukua hatua mapema sana kutafuta ukweli.

hatuwezi jua ni hali gani diamond anapitia,ila nina hakika atakuwa anajihisi vibaya,hata kama haonyeshi hadharani.

kwa wazungu isingekuwa shida ila kwa sisi waswahili kuna shida kwasababu tuna ubinafsi wa asili. hatuna tabia kulea mtoto wa mwanaume mwingine.wachache sana wanaweza kufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom