miss charming
JF-Expert Member
- Dec 3, 2016
- 910
- 905
- Thread starter
- #321
Et jamani bado mbabisha tuuu ?? Aisee mapenzi upofu ila limbwata la kiganda nomaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini usimshambulie na kumlaumu sana mwenzio. Hebu rudi nyuma tu kidogo ujiulize ile hali mtu anaoa tena msichana lakini anakuwa na mashaka daima kila akisikia eti alikuwaga na boyfriend udogoni, sasa na huyu aliyeoa mtu mzima anayemzidi sana kiumri tena ana mume wake halali na wana watoto utakuwa na mashaka au zaidi ya mashaka!?Hamna lolote huyo ni mtoto wa platnum mtoto mdogo kuwa na mshavu hilo sio tatizo si anamabadiliko alafu hizo picha umechukua za karibu na pili we mtoa post jiulize unavyochochea ujinga we umefanana na babako kila kitu au na huenda we ndo mtoto wakusingizia angalia usije umbuka siku moja
Watu watamuua diamond kwa mawazo maana kibongo mwanaume akisikia tuhuma ka hizi huishiwa nguvu kabisa
Isije ikawa huku unaongea ivi, ila ukiwa kwenye thredi ya makonda unatamani atumbuliwe.Mondi anawakati mgumu sana kuongoza maisha yke mana anamaadui wengi Sana wanaomzunguka ambao wengi wao ni wale ambao wanataman ashuke kimzik
Napata mashaka. Napata hofu moyoni. Lakini, natamani isiwe kadri ya hofu yangu.Embu ongea ww mkuu, umeona nn
Ndugu yangu mi mwenyewe wabongo wamenishinda kabisaaaa😀😀😀😀😀😀Wabongo Siwawez Athee