Picha: Utata wa sura ya Mtoto wa Diamond

Mlianza kwa Tiffa ivyo ivyo kumfananisha na Ivan. Mwsho wa siku Mungu sio abdalah wala van mtoto ndo sura ya mondi tupu. Wekeni akiba ya maneno baadae mje kujiumbua wenyewe.
Umesema kweli mrs van.Wengine hawajui kama wanaishi na baba zao wa kambo hivyo mi nampa bigup diamond kuwa analea damu yake halali na sio kama huyu alieposti picha kumdhihaki diamind wakati yeye babake hamjui mpaka leo
 
ifike time sasa watanzania tuheshimu mapenzi ya watu izi ni mbinu za uchochez tu za kuvuruga mapenz ya mond na zari maadam zar mwenyewe anasema mtt ni wa mond bas acha awe wa mond Ivan kafananishw but ukwel halis anaujua zari hivyo tusijaji san
 
Tumekalia majungu tu diamond sio mjinga yule anaakili sana mpaka kuja kumuoa zari ndo mana adi rais anatuponda tumekalia mitandao tu .kiukwer tumezidi.
Na ninahis mtoa post ni jinsia ya Ke mana tangu ndu yao aachwe hawajaridhika
Kamuoa lini? Ndoa ilifungwa na nani? Sherehe ikafanyika wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…