Dr_Mponzi
Member
- Mar 27, 2014
- 22
- 14
Umesema kweli mrs van.Wengine hawajui kama wanaishi na baba zao wa kambo hivyo mi nampa bigup diamond kuwa analea damu yake halali na sio kama huyu alieposti picha kumdhihaki diamind wakati yeye babake hamjui mpaka leoMlianza kwa Tiffa ivyo ivyo kumfananisha na Ivan. Mwsho wa siku Mungu sio abdalah wala van mtoto ndo sura ya mondi tupu. Wekeni akiba ya maneno baadae mje kujiumbua wenyewe.