Picha: Utata wa sura ya Mtoto wa Diamond

Picha: Utata wa sura ya Mtoto wa Diamond

Wale kina Ivan wanavyopenda sifa,wangemla huyu zari kipindi hiki yupo diamond hakuna sayar isingejua acha jua,dunia mzima ingejua kwa marefu na ushahidi wa picha kabisa,ktk kitu Ivan kina muuma ktk maisha yake ni haya mapenzi ya hawa watu..so diamond sio fala na hajawai kuwa fala ile ni damu yake
 
Ngololo, ngololo, ngololo
............... kuchapiwa ni siri ya ndani
Twende sasa!!!!!!
 
Narudia na nilishasema watoto wa simba wanafanana na Ivan. Wako wanaume wanajua hali kama hii na wanamezea ili kuepuka aibu na wapo hawajui wake zao wanahemea nje wanaleta ndani. Kwa huyu wa kwetu inawezekana anajua.
 
Kitanda hakizai haramu.. Mmesema kwa tifa wee alvyokuw mdgo sasa ni nillan mkitoka hilo mtaamia jingine pili mpate pa kumsemea , OK endeleen bna mpate kurdhisha nafsi zenu cjui mnataka huyo mtt amtupe au aache mke
 
Japokua mtoto akiwa mdogo huwa anabadilika Mara kwa Mara ila hii ya nillan hapana, why afanane na Ivan kiasi hicho? Mmh tusubiri labda atabadilika, ila zari haaminiki
Mkuu Mwenye macho haambiwa tazama, wanajifanya vipofu lakini Mtoto wa Ivan 100%
 
Watanzania wachache wasio na la kufanya waache kumdhihaki huyo mtoto wa mondi. Mbona nyie hamkupimwa DNA na wazazi wenu. Hivi wanfapi mnaweza kythibitisha baba zenu ndio hasa na sio wengine. Acheni kujadili familia za wenzenu chunguzeni zenu. Mtoto ni wa mondi fulstop
Mkuu unajua maana ya celebrity ?? Mtu maarufu lazima aongelewe tu na hasa Diamond anayejiweka public maisha yake binafsi
 
Back
Top Bottom