Pre GE2025 Picha: Vijana zaidi ya 1000 wafanya matembezi Dodoma kumuunga mkono Samia kugombea Urais 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hao siyo vijana. Itakuwa nyumbu au kasongo. Vijana hawawezi kufanya jambo la fedheha hivyo la kuunga mkono watu wa hovyo
 
Kwa hiyo kwa sababu Lissu kashinda ndio tusijadili mambo mengine dunia isimame?

Tuliza Oestrogen hizo na uache kupanic hovyo.

Ka jinga 😂
Nmemwelewa katoa kama ushaur kua ,maandamano Yao yanefunikwa na uchaguz wa Chadema ,Kwa iyo hai viongoz ni vilaza sana ,Kwa nn wapabge maandamano siku ya kutangazwa Kwa mgombea wa Chadema ??
 
Lucas analitambua hili?
 
We don't buy this bullshit
 
Tuna taifa lenye vijana wa hovyo sana kuwahi kutokea. Pumvavu zenu vijana wote mliokoswa kazi ya kufanya na kushadadia huu upuuzi unaoliangamiza taifa
 
Hakika kibaya cha jitembeza, endeleeni kujitembeza
 
Ni lazima waandaliwe kama hawa ili ionekane Mama anapendwa. Mambo ya kawaida kabisa kwenye siasa.
 
CCM hakuna kupoa hadi siku Mama anakula kiapo,mwendo ule ule,ushindi lazima
 
Hawa ndio zoba wa nchi hii.
 
Mbona activity za ccm zimepoa sanaa... Halafu huwa nawashangaa huwa wana kuwa na wasiwasi gani kutumia nguvu kubwa kwenye activity na ikiwa uchaguzi ujao watashinda tu tena kwa koshindo...
+ wasanii wao

Ova
 
Utani mwingine huu.

Mtaruhusu CDM nao wakisema waandamane kumuunga mkono Tundu Lissu?
 
Nyerere aliiacha nchi ikiwa na maadui watatu.

Ila kwa sasa kuna maadui wanne. Na adui mmoja amebadilika na kuwa mbaya zaidi.

Adui "Ujinga" sasa ni Upumbavu.

Adui, "umaskini" remains constant.

Adui "Maradhi" remains constant.

Adui Uchawa.

Kwa hiyo kwa sasa kuna maadui wanne. Upumbavu, Umaskini, Maradhi na Uchawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…