Picha: Vita ya Ray C na Zamaradi yapamba moto

nifah, geniveros, Dinazarde queenkami na wambeya wenzangu wote.Nimeshindwa kuscreen short yani Mange amemtukanaje shamim sasa! Kisa kaleta bidhaa ambayo Mange aliitangaza kuileta! Bwa ha ha! Kamwita mbwa, joka, mchawi mnafiki nakadhalika.
Biashara ushindani jamani au?
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa, shoga nimechekaje! Mange nimemchoka jamani.Yaani yule kichaa chake ipo siku atatembea uchi.Mara ooh anakubali challenges mara kwanini shamim?
Kaniacha hoi eti yeye ndio wa kwanza kutufundisha liquid lipstick watz!
Uwiiiiii! Mimi ninayo kitambo hata kama sio hizo za Anastasia.
 
Last edited by a moderator:

Jamani yani kakasirika kama izo liquid lipstic amezitengeneza yeye! Mi nasema yule ni wa kumhurumia kah!
 
Jamani yani kakasirika kama izo liquid lipstic amezitengeneza yeye! Mi nasema yule ni wa kumhurumia kah!
Hahahaaa, Mange ni wa kumsamehe tu.Sikuhizi naona kakosa umbea wa maana anaanza kutafuta mabeef.
 

Niliona aisee yule ni kiboko hizo lipstik mbona hata mm nnazo inakuwajee ,mara awe mshauri wa Daimond na zari yote yakee aiseee
 
Last edited by a moderator:

Zamaradi ni mpuuzi kabisaaa..hapendi kuambiwa ukweli ukimpa yake anakublock insta..
 
Ha ha ha lazima ajihisi yeye maana wameshare bwana.Hao wote wamekutana huyo zamaradi nae anajiona kaukata sana.

yale yale ya kajala na wema kumvulia nguo mtu mmoja, jamani wanaume wameisha hivi au thamani imeongezeka mpaka wanagombewa?
 

Hahaa yaani hakumbakiza.
Ila alinifurahisha jinsi alivyomsasambua changubibi.Lol
 
Last edited by a moderator:

Nilikua namuona mjanja nimeshangaa alikua hajui liquidlipstick wakati zipo muda mrefu tu.
Long time mm natumia za max factor tena hata hazina bei kihivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…