Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa, shoga nimechekaje! Mange nimemchoka jamani.Yaani yule kichaa chake ipo siku atatembea uchi.Mara ooh anakubali challenges mara kwanini shamim?
Hahahaaa, shoga nimechekaje! Mange nimemchoka jamani.Yaani yule kichaa chake ipo siku atatembea uchi.Mara ooh anakubali challenges mara kwanini shamim?
Kaniacha hoi eti yeye ndio wa kwanza kutufundisha liquid lipstick watz!
Uwiiiiii! Mimi ninayo kitambo hata kama sio hizo za Anastasia.
Hahahaaa, Mange ni wa kumsamehe tu.Sikuhizi naona kakosa umbea wa maana anaanza kutafuta mabeef.Jamani yani kakasirika kama izo liquid lipstic amezitengeneza yeye! Mi nasema yule ni wa kumhurumia kah!
Ndio hukohuko mpenziHa ha ha ha ndo huko u turn o?
hahaaaaa Zma ndio maana hanenepi.... we patia picha hadi Dina Marios
alikorofishana nae.. ana roho ya kwanini.........
akiwa kwenye interview full kuwachimba watu maswali ye akiulizwa
we anakuwaje mkali kama pilipili kichaa.........., hasa umuulize swala la baba
Ndio hukohuko mpenzi
Ha ha ha lazima ajihisi yeye maana wameshare bwana.Hao wote wamekutana huyo zamaradi nae anajiona kaukata sana.
Zamaradi ni mpuuzi kabisaaa..hapendi kuambiwa ukweli ukimpa yake anakublock insta..
yale yale ya kajala na wema kumvulia nguo mtu mmoja, jamani wanaume wameisha hivi au thamani imeongezeka mpaka wanagombewa?
anamanyonyoooo makubwaa
Niliona aisee yule ni kiboko hizo lipstik mbona hata mm nnazo inakuwajee ,mara awe mshauri wa Daimond na zari yote yakee aiseee
Girls? Angalia picha hapo juu, kisha rekebisha sentensi yako.
SI nilisikia anaishi mbezi beach africana, ila wengine wanasema kwao tandale