Picha: Vita ya Ray C na Zamaradi yapamba moto

Picha: Vita ya Ray C na Zamaradi yapamba moto

Ninacho jiuliza kwanini Rayc ahisi anaambiwa yeye? Mbona kuna mastaa wengi hawana watoto na hawaja jihisi? Kwanini Wema au jokate,Walper hawakuhisi wanasemwa wao? Nimegundua Rayc bado anaugua kabisa!
Rayc ni attention seeker kabisa na anapenda ugomvi!

Rayc sio mzima
Alikuwa na msutano na dougiemasta kipindi fulani kisa kadhulumu hela ya mteja
 
Huo ndo ukweli....ila nae Ronadinho(Zama) afanye yake malumbano hayasaidii

Zamaradi ni mkorofi, ana maneno ya choko choko sana, ray c kamalizia anaonekana yeye ndo mchokozi au anaonekana bado anatumia madawa....ahahahah y unamuita zama ronadinho? Meno au?
 
hao UKIMWI hawakosi...wanapenda sana Soni Mombo...( kama hujaelewa hapo uliza Lushoto)
 
Ahahahaha binamu unavyouliza kama ni kitu cha kawaida vile, hahahahaha ni sheeedha

Binamu lakini nimesikia kuwa Rehema ana kitumbo.
Na muhusika ni mtuhumiwa wa Zama, maana kule insta ndo umbea ulikolala
 
Binamu lakini nimesikia kuwa Rehema ana kitumbo.
Na muhusika ni mtuhumiwa wa Zama, maana kule insta ndo umbea ulikolala

Dadangu fafanua kdg
..... Mtuhumiwa wa Zama ndio nani?
 
Back
Top Bottom