miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,012
- 3,700
Duu hatari sana..kwanini na yeye asitafute mtoto?Kujibishana insta kutamsaidia kubeba mimba?
Zama zake zimekwisha....lilia bahati sio uzuri.Maana Zama uzuri hana kumshinda huyo nyoka mstaafu lakini ndo muvile tena.Insta haitii mimba kwahyo atulize kipago.