PICHA: Wabunge wakishiriki shindano la kula kwenye Bunge Bonanza 2025

PICHA: Wabunge wakishiriki shindano la kula kwenye Bunge Bonanza 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wabunge na wafanyakazi wengine wa Bunge wakishiriki kwenye shindano la kula kwenye kilele cha Bunge Bonanza 2025.
IMG_2878.jpeg
IMG_2879.jpeg


Pia, Soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Katika bonanza hili pia imechezwa mechi ya Wabunge ambao ni mashabiki wa Simba na Yanga ambapo mechi imemalizika kwa Yanga kupoteza kwa bao 4-0
 
Imagine unasoma mada kuna mama huko hawezi wapa watoto wake mlo.

Halafu huku matajiri (kupitia kodi) za maskini na watu wanao wawakilisha, wanajirekodi kabisa wanavyochezea chakula.

Hawako sensitive kabisa na shida za wananchi wao.

Ni watu wa hovyo hawa majamaa.
 
Back
Top Bottom