Picha: Wafuatao ni samaki tunaowapata sana hasa ukanda huu wa Lindi beach

Attachments

  • FB_IMG_1716633818712.jpg
    119.8 KB · Views: 6
  • DSC_0239.JPG
    3.8 MB · Views: 5
Pamoja na Samaki wengi wazuri,Kwa nini bado mnakula Pweza??Ni uroho au ulafi?Nimekaa Pwani Miaka 20,Nyumbani Kanda ya Ziwa lakini hayo makambakamba acheni uroho!!
Nenda Ka google faida za pweza.. Wana zinc sana kuliko wengine
 
Sasa na nyoka mnavu wa nini,si muwaachie wakalee familia zao huko majini🤭
 
Pamoja na Samaki wengi wazuri,Kwa nini bado mnakula Pweza??Ni uroho au ulafi?Nimekaa Pwani Miaka 20,Nyumbani Kanda ya Ziwa lakini hayo makambakamba acheni uroho!!
Mi mwenyewe wa bara nilivyokuja pwani nilikaa miaka miwili bila kula pweza nilikuwa naona kama madudu flani ya kutisha. Kuna siku nikajiroga nikawaonja aisee ni watamu balaa mpaka leo haiwezi kupita wiki sijawala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…