Pre GE2025 Picha: Wameamua kumdhalilisha Peter Msigwa. Ukimtazama usoni amefadhaika sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hakika wamemdhalilisha mchungaji

Mi pamoja na Sheria kulazimisha kuweka hayo mapicha ofifisini
Siweki labda ya picha ya mwalimu tu

Hayo mapicha ya wenyeviti wa maccm wengine siyaweki
 
Wakristo tunasema alikuwa kaokoka karubuniwa na shetani karudi kuabudu kuzimu, ameshindwa kumpigania ufalme wa mbinguni
 
Ndiye huyu aliyeingia mkutano wa Kamati Kuu kwa mbwembwe akiwa amevaa suti?🤣🤣.
CCM lazima wamgaragaze, tena kuna maagizo mapya yametolewa kuwa wahakikisha kila anaposimama in public viatu viwe na vumbi, pia kuwe na jasho kwapani (hata ikipbidi wampake maji)
 

Sura imemjaa simanzi na majuto tele, utadhani Yuko mazikoni.
 
Dah Aisee kazi ameitafuta ameipata.Anaaibika sanaa
 
Naona sasa huyu nchungaji ameingia kwenye ibada za kuabudu sanamu za Samia.
 
Malipo ya usaliti na ulafi
 
Nimeongea jana na watu wawili mashuhuri pale Iringa (nahifadhi kwa sasa majina yao wasije potezwa) wakisikitishwa na kitendo anachofanyiwa aliyekuwa mbunge wao halali Peter Msigwa cha kubebeshwa Bango kama vijana wa Chipukizi. Ni kweli kwa sasa Msigwa anatumika kuitukana Chadema na hususani viongozi wake Mbowe na Lissu, na kuchonganisha na wengine.
Hiyo ni mission ya CCM kuelekea uchaguzi, lakini kumdhalilisha kwa kumbebesha mabango kama mzee yatima ni kuwatukana Watu wa Iringa walio wahi kumchagua kwa vipindi viwili huku cha Tatu wakiibiwa kura zao.
Hizi dharau haziendi kwa Msigwa au Chadema bali wana Iringa kuwa walikuwa wajinga kumchagua mtu wa hovyo kama mbeba mabango mpya wa CCM.
Msigwa aliyekuwa anaweza kuhenyeshana na kina Kinana leo hata katibu wa UVCCM Mwembetogwa anaweza kumpa majukumu?
#Wamelia sana!
 

Attachments

  • 20240721_102058.jpg
    42.3 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…