Pre GE2025 Picha: Wameamua kumdhalilisha Peter Msigwa. Ukimtazama usoni amefadhaika sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Maskini. Wameamua tu kumdhalilisha. Wakimaliza kumtumia ataachwa ajiozoee somewhere. Wameamua kwa makusudi kumpiga picha wamemshikisha picha

Hakutegemea kwa kudhalilishwa hivi. Mwangalie usoni. Amepatwa na aibu na mfadhahiko mkubwa. Huyu Msigwa ambaye alikuwa kama mwanafalsafa flani. Sasa watoto WANAMSHIKISHA PICHA APIGWE PICHA.

View attachment 3047689
Njaa hAina baunsa mkuu hasa kama wewe umezoea kuishi kwa kusaidiwa
 
Maskini. Wameamua tu kumdhalilisha. Wakimaliza kumtumia ataachwa ajiozoee somewhere. Wameamua kwa makusudi kumpiga picha wamemshikisha picha

Hakutegemea kwa kudhalilishwa hivi. Mwangalie usoni. Amepatwa na aibu na mfadhahiko mkubwa. Huyu Msigwa ambaye alikuwa kama mwanafalsafa flani. Sasa watoto WANAMSHIKISHA PICHA APIGWE PICHA.

View attachment 3047689

Nimeongea jana na watu wawili mashuhuri pale Iringa (nahifadhi kwa sasa majina yao wasije potezwa) wakisikitishwa na kitendo anachofanyiwa aliyekuwa mbunge wao halali Peter Msigwa cha kubebeshwa Bango kama vijana wa Chipukizi. Ni kweli kwa sasa Msigwa anatumika kuitukana Chadema na hususani viongozi wake Mbowe na Lissu, na kuchonganisha na wengine.
Hiyo ni mission ya CCM kuelekea uchaguzi, lakini kumdhalilisha kwa kumbebesha mabango kama mzee yatima ni kuwatukana Watu wa Iringa walio wahi kumchagua kwa vipindi viwili huku cha Tatu wakiibiwa kura zao.
Hizi dharau haziendi kwa Msigwa au Chadema bali wana Iringa kuwa walikuwa wajinga kumchagua mtu wa hovyo kama mbeba mabango mpya wa CCM.
Msigwa aliyekuwa anaweza kuhenyeshana na kina Kinana leo hata katibu wa UVCCM Mwembetogwa anaweza kumpa majukumu?
#Wamelia sana!
Si amegeuka msemaji na chawa mgeni wa Samia Suluhu Hassan? Na abebeshwe sanamu yake tu... Hakuna ubaya hapo kwani karidhia mwenyewe. 😎
 
Maskini. Wameamua tu kumdhalilisha. Wakimaliza kumtumia ataachwa ajiozoee somewhere. Wameamua kwa makusudi kumpiga picha wamemshikisha picha

Hakutegemea kwa kudhalilishwa hivi. Mwangalie usoni. Amepatwa na aibu na mfadhahiko mkubwa. Huyu Msigwa ambaye alikuwa kama mwanafalsafa flani. Sasa watoto WANAMSHIKISHA PICHA APIGWE PICHA.

View attachment 3047689
Yaani mimi moja ya vitu huwa sipendi ni mambo kama anayofanyishwa huyu jamaa.
 
Maskini. Wameamua tu kumdhalilisha. Wakimaliza kumtumia ataachwa ajiozoee somewhere. Wameamua kwa makusudi kumpiga picha wamemshikisha picha

Hakutegemea kwa kudhalilishwa hivi. Mwangalie usoni. Amepatwa na aibu na mfadhahiko mkubwa. Huyu Msigwa ambaye alikuwa kama mwanafalsafa flani. Sasa watoto WANAMSHIKISHA PICHA APIGWE PICHA.

View attachment 3047689
Mwamba akipata wasaa anaingia chooni analia mpaka kamasi halafu akitoka nje anajikausha kama sio yeye.
 
Back
Top Bottom