Pre GE2025 Picha: Wameamua kumdhalilisha Peter Msigwa. Ukimtazama usoni amefadhaika sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Maskini. Wameamua tu kumdhalilisha. Wakimaliza kumtumia ataachwa ajiozoee somewhere. Wameamua kwa makusudi kumpiga picha wamemshikisha picha

Hakutegemea kwa kudhalilishwa hivi. Mwangalie usoni. Amepatwa na aibu na mfadhahiko mkubwa. Huyu Msigwa ambaye alikuwa kama mwanafalsafa flani. Sasa watoto WANAMSHIKISHA PICHA APIGWE PICHA.

View attachment 3047689
Utadhani katuni!!!
 
Ati huyu alie kuja akiwa na simu kitochi leo ndie wa kumsema Mbowe.
Huyu kanyea sahani aliyo lia msosi. Hana akili muuza mitumba ya watoto yatima
 
Attachments

  • 1721549182561.jpg
    1721549182561.jpg
    589.6 KB · Views: 2
Maskini. Wameamua tu kumdhalilisha. Wakimaliza kumtumia ataachwa ajiozoee somewhere. Wameamua kwa makusudi kumpiga picha wamemshikisha picha

Hakutegemea kwa kudhalilishwa hivi. Mwangalie usoni. Amepatwa na aibu na mfadhahiko mkubwa. Huyu Msigwa ambaye alikuwa kama mwanafalsafa flani. Sasa watoto WANAMSHIKISHA PICHA APIGWE PICHA.

View attachment 3047689
Soon anakuwa DC au Katibu wa CCM Wilaya au Mkoa. Wewe utabaki bingwa wa kimkejeli JF yeye akipiga maisha mtaani!
 
Mwanadamu hata upate nini madaraka au fedha ukidhalilishwa huna thamani mbele ya jamii.
Hivi wewe ukilawitiwa na kupewa pesa nyingi unaweza kuzitambia huku watu wakitambua umepataje pesa hizo?
 
1721562621880.png

Bila kubeba hii picha sahau uDC.Njaa haina baunsa.

Msigwa ana familia tuendelee kuvumiliana.
 
Maskini. Wameamua tu kumdhalilisha. Wakimaliza kumtumia ataachwa ajiozoee somewhere. Wameamua kwa makusudi kumpiga picha wamemshikisha picha

Hakutegemea kwa kudhalilishwa hivi. Mwangalie usoni. Amepatwa na aibu na mfadhahiko mkubwa. Huyu Msigwa ambaye alikuwa kama mwanafalsafa flani. Sasa watoto WANAMSHIKISHA PICHA APIGWE PICHA.

View attachment 3047689
Sasa huko CCM kapewa nafasi gani ni nan msigwa ndani ya chama
 
Maskini. Wameamua tu kumdhalilisha. Wakimaliza kumtumia ataachwa ajiozoee somewhere. Wameamua kwa makusudi kumpiga picha wamemshikisha picha

Hakutegemea kwa kudhalilishwa hivi. Mwangalie usoni. Amepatwa na aibu na mfadhahiko mkubwa. Huyu Msigwa ambaye alikuwa kama mwanafalsafa flani. Sasa watoto WANAMSHIKISHA PICHA APIGWE PICHA.

View attachment 3047689
Kula vya Watu kuna gharama zake. Sasa unategemea mtu Kama huyo akija kupata nafasi Atakua na hruma kwa wewe usiyejidhalilisha hivyo. Wakati mwingine Watu wanaiba kufidia machungu ya kujidhalilisha. Usifikiri hata wale wanaosema mama anaupifa mwingi kuwa Wanapenda.
 
Mwanadamu hata upate nini madaraka au fedha ukidhalilishwa huna thamani mbele ya jamii.
Hivi wewe ukilawitiwa na kupewa pesa nyingi unaweza kuzitambia huku watu wakitambua umepataje pesa hizo?
Nitajie mmoja ambaye ana pesa na ni tajiri lakini hana thamani katika jamii yake. Mmoja tu!
 
Njaa ukiiendekeza mbaya sana.

Sema mambogamboga yanaweza kumpa hata ukuu wa mkoa.
 
Maskini. Wameamua tu kumdhalilisha. Wakimaliza kumtumia ataachwa ajiozoee somewhere. Wameamua kwa makusudi kumpiga picha wamemshikisha picha

Hakutegemea kwa kudhalilishwa hivi. Mwangalie usoni. Amepatwa na aibu na mfadhahiko mkubwa. Huyu Msigwa ambaye alikuwa kama mwanafalsafa flani. Sasa watoto WANAMSHIKISHA PICHA APIGWE PICHA.

View attachment 3047689
Leo hii jamaa anabebeshwa picha njaa mbaya sana
 
Maskini. Wameamua tu kumdhalilisha. Wakimaliza kumtumia ataachwa ajiozoee somewhere. Wameamua kwa makusudi kumpiga picha wamemshikisha picha

Hakutegemea kwa kudhalilishwa hivi. Mwangalie usoni. Amepatwa na aibu na mfadhahiko mkubwa. Huyu Msigwa ambaye alikuwa kama mwanafalsafa flani. Sasa watoto WANAMSHIKISHA PICHA APIGWE PICHA.

View attachment 3047689
Chadema hatuwataki, chama cha kikanda/udini, ukabila na ubaguzi
 
Back
Top Bottom