Pre GE2025 Picha: Wameamua kumdhalilisha Peter Msigwa. Ukimtazama usoni amefadhaika sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Njaa hAina baunsa mkuu hasa kama wewe umezoea kuishi kwa kusaidiwa
 

Si amegeuka msemaji na chawa mgeni wa Samia Suluhu Hassan? Na abebeshwe sanamu yake tu... Hakuna ubaya hapo kwani karidhia mwenyewe. 😎
 
Yaani mimi moja ya vitu huwa sipendi ni mambo kama anayofanyishwa huyu jamaa.
 
Mwamba akipata wasaa anaingia chooni analia mpaka kamasi halafu akitoka nje anajikausha kama sio yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…