Mungu ni mwema Tunaelekea pazuri kama nchiView attachment 3101028View attachment 3101030
police waliejitambulisha wa kituo cha magomeni wamefika kkoo muda huu wakataka kuondoka na mtuhumiwa wakaulizwa kesi yake nini awasemi rb namba awana wananchi wamegoma askari kuodoka na mtuhumiwa uyo aliye vaa kofia ndio askari na mwenzake uyo mweupe aliye simama ukutani
Ni sahihi. Serikali iruhusu na irahisishe upatikanaji wa Silaha kwetu wananchi ili tuanze kujilinda wenyewe.Tunaelekea pazuri kama nchi
Silaha zipo wazi tufuate utaratibu tu kuzipataNi sahihi. Serikali iruhusu na irahisishe upatikanaji wa Silaha kwetu wananchi ili tuanze kujilinda wenyewe.
Safi sana, baada ya kumsikia amiri jeshi mkuu akiwapa kichwa askari wake waendelee na matendo yao ya kupoteza na kuua watu huku akikazia kuwa "Kifo ni Kifo tu", naona sasa raia wameamua kujilinda.View attachment 3101028View attachment 3101030
police waliejitambulisha wa kituo cha magomeni wamefika kkoo muda huu wakataka kuondoka na mtuhumiwa wakaulizwa kesi yake nini awasemi rb namba awana wananchi wamegoma askari kuodoka na mtuhumiwa uyo aliye vaa kofia ndio askari na mwenzake uyo mweupe aliye simama ukutani
About fukin time, hii ndio inatakiwa iwe, no more ukondooView attachment 3101028View attachment 3101030
police waliejitambulisha wa kituo cha magomeni wamefika kkoo muda huu wakataka kuondoka na mtuhumiwa wakaulizwa kesi yake nini awasemi rb namba awana wananchi wamegoma askari kuodoka na mtuhumiwa uyo aliye vaa kofia ndio askari na mwenzake uyo mweupe aliye simama ukutani
achana na tunakoelekea....tulipo ni pabaya sanaTunaelekea pazuri kama nchi