PICHA: Wananchi Kariakoo wamgomea aliyejitambulisha kama Polisi kuondoka na mtuhumiwa

Walitakiwa ss raia wawawekee chini ya ulinzi wao na mpk ss walitakiwa wawe wameshavimbaa Kila mahali km hawana vielelezo vinavyojitosheleza km wao n police...na waojiwee n wakina nani na wapo wangapi shenzi kbs
 
Abdul lazima mumkome wote mlio msumbua hapo kkoo ..kuna kajamaa kalimpokaga demu kitambo sasa hivi kana onyenjeshwa joto ya jiwe na bwana Abdul 🤫
 
Wamekosea sana, hawa walikuwa wa kuchoma moto tu hakuna kufuga majambazi.
 
Safi sana! This is the way to make systems work.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…