NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 1,336
- 2,008
Polisi bila vitambulisho Wala RB??ficha upumbavu wako.Hao wafunguliwe kesi ya kukataa kutii amri halali ya polisi na kuzuia polisi wasifanye kazi yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Polisi bila vitambulisho Wala RB??ficha upumbavu wako.Hao wafunguliwe kesi ya kukataa kutii amri halali ya polisi na kuzuia polisi wasifanye kazi yao
Heshima ni kitu cha bure.Hii nzuri Wananchi kama serikali imeshindwa ni Bora kupambana wenyewe. Hili limama nilikua naliona la maana kumbe la hovyo tu
Unaniandama sana sijui kwaniniHeshima ni kitu cha bure.
Kabisaaa, hawatarudia tena.Hivi kwanini wasimchomwe moto watu kama hao? Wakigeuzwa majivu ndiyo itakuwa fundisho.
Wewe ni mpumbavu hao vibaka wakijiita polisi wanafanya kazi bure ? ,Nyie furahieni hiyo hali tu, mtakuja kupatwa maswaibu ya kucharangwa na mwizi halafu unamkuta sehemu unamuomba askari akukamatie atakataa uone tutakuwa tunaishije!
Polisi aliejitambulisha wa kituo cha Magomeni wamefika Kariakoo muda huu wakataka kuondoka na mtuhumiwa wakaulizwa kesi yake nini awasemi, RB namba hawana wananchi wamegoma Askari kuodoka na mtuhumiwa huyo
Katika picha hizi mtu aliyevaa Kofia ndiye Askari na mwenzake ni huyo mweupe aliye simama ukutani.
Labda wana hasira na rangi za hilo bango ukutaniKatika picha hizi mtu aliyevaa Kofia ndiye Askari na mwenzake ni huyo mweupe aliye simama ukutani.
Polisi atoke Magomeni akamkamate mtu K'koo?
Kwanini utaratibu usitumike akakamatwa na askari wa hapo msimbazi centre?
Halafu huu utaratibu wa polisi kwenda kumkamata mtu bila uniform za polisi wala RB umeanza lini?