3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Polisi asiyefuata sheria za ukamataji ni mhalifu anapaswa kuwa arrested piaHao wafunguliwe kesi ya kukataa kutii amri halali ya polisi na kuzuia polisi wasifanye kazi yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Polisi asiyefuata sheria za ukamataji ni mhalifu anapaswa kuwa arrested piaHao wafunguliwe kesi ya kukataa kutii amri halali ya polisi na kuzuia polisi wasifanye kazi yao
Nyie furahieni hiyo hali tu, mtakuja kupatwa maswaibu ya kucharangwa na mwizi halafu unamkuta sehemu unamuomba askari akukamatie atakataa uone tutakuwa tunaishije!
Wanaweza kwenda kukamata lakini wawe wanajitambulishaHawa askari wanaovaa kiraia wangejitoa kwenye mambo ya kukamata hasa kwa nyakati hizi...
Ni kjnyume na sheria, ni vile watu walikuwa wamezubaa tuPolisi atoke Magomeni akamkamate mtu K'koo?
Kwanini utaratibu usitumike akakamatwa na askari wa hapo msimbazi centre?
Halafu huu utaratibu wa polisi kwenda kumkamata mtu bila uniform za polisi wala RB umeanza lini?
Huyo Askari aliyevaa kanzu ndo askari kanzu au ametokea kuswali?View attachment 3101028View attachment 3101030
police waliejitambulisha wa kituo cha magomeni wamefika kkoo muda huu wakataka kuondoka na mtuhumiwa wakaulizwa kesi yake nini awasemi rb namba awana wananchi wamegoma askari kuodoka na mtuhumiwa uyo aliye vaa kofia ndio askari na mwenzake uyo mweupe aliye simama ukutani
Duh,View attachment 3101028View attachment 3101030
police waliejitambulisha wa kituo cha magomeni wamefika kkoo muda huu wakataka kuondoka na mtuhumiwa wakaulizwa kesi yake nini awasemi rb namba awana wananchi wamegoma askari kuodoka na mtuhumiwa uyo aliye vaa kofia ndio askari na mwenzake uyo mweupe aliye simama ukutani
Hao ni wa kupigwa tu na kuchomwa motoPolisi aliejitambulisha wa kituo cha Magomeni wamefika Kariakoo muda huu wakataka kuondoka na mtuhumiwa wakaulizwa kesi yake nini awasemi, RB namba hawana wananchi wamegoma Askari kuodoka na mtuhumiwa huyo
Katika picha hizi mtu aliyevaa Kofia ndiye Askari na mwenzake ni huyo mweupe aliye simama ukutani.
Naunga mkono hojaNi sahihi. Serikali iruhusu na irahisishe upatikanaji wa Silaha kwetu wananchi ili tuanze kujilinda wenyewe.
Panga ni siraha pia lakni yanauzwa madukani na bastola & ziuzwe namna hiyo hiyo.Silaha zipo wazi tufuate utaratibu tu kuzipata
kumbe mnataka kununua Silaha supermarkert kama Marekani ??Panga ni siraha pia lakni yanauzwa madukani na bastola & ziuzwe namna hiyo hiyo.
Pigia mstari jibu lakokumbe mnataka kununua Silaha supermarkert kama Marekani ??
Hapo sawa hata Mimi naona itakuwa vyema Sana.Polisi wafuate sheria,vitambulisho,rb, kiongozi wa mtaa,waache mazowea
Wahuni hao,pigeni mikandaPolisi aliejitambulisha wa kituo cha Magomeni wamefika Kariakoo muda huu wakataka kuondoka na mtuhumiwa wakaulizwa kesi yake nini awasemi, RB namba hawana wananchi wamegoma Askari kuodoka na mtuhumiwa huyo
Katika picha hizi mtu aliyevaa Kofia ndiye Askari na mwenzake ni huyo mweupe aliye simama ukutani.
Safi kabisaPolisi aliejitambulisha wa kituo cha Magomeni wamefika Kariakoo muda huu wakataka kuondoka na mtuhumiwa wakaulizwa kesi yake nini awasemi, RB namba hawana wananchi wamegoma Askari kuodoka na mtuhumiwa huyo
Katika picha hizi mtu aliyevaa Kofia ndiye Askari na mwenzake ni huyo mweupe aliye simama ukutani.