Ndio matatizo ya kuwa na nchi inaongozwa kipumbavu bila utawala wa sheria , tunaposema uatawala wa sheria au rule of law Una maanisha hamna ambaye anatakiwa kuwa juu ya sheria , polisi nchi hii vibaka na majambazi wanaotumika na ccm kukandamiza wapinzani na kufanya uhalifu mwingine mwingi ambao ni kinyume na miiko ya kazi na jibu description zao .
Sasa unapokuwa na nchi polisi wanakuja kukamata watu kama vibaka flani mitaani bila utaratibu wala kujitambulisha ipasavyo ndio hii inatokea hata majambazi na watu wengine wanaweza tengeneza squads za kuteka watu na kuwamaliza au kufanya extortion kutokana na visasi ,chuki nk
Tukiambiwa kuadhere na haki za binadamu na mabalozi tunasema tusipangiwe .
Na majitu yenye akili fupi yanasheherekea hii hali ,ni hatari sana .
Hii ni disaster na hamna aliye salama
Ni vile tu watanzania huwa hawaoni mbali , kitu likivimbiwa viporo linaona liko salama kwa vile wanaolengwa kwa sasa ni wapinzani , hajui kwamba muda wowote mtu kwa chuki zake binafsi au kwa sababu yoyote anaweza mfanyia kile kile kama wapinzani wanachofanyiwa au even worse Kwa kutumia loopholes zilizopo
Kwa nchi zenye watu wenye akili timamu ,hii nchi sasa hivi kwa yanayoendelea ilipaswa isikalike kabisa ,watu wakichafue kudemand majibu na accountability na resignation ya hik regime na kufumua mifumo yote kabisa kuanza upya lakini kwa vile tupo taifa la wajinga ndio hivyo tena