Tetesi: Picha: Watalii wakiondoka Tanzania kukimbia maandamno ya Desemba 9

Tetesi: Picha: Watalii wakiondoka Tanzania kukimbia maandamno ya Desemba 9

ChekoFagia

Senior Member
Joined
Sep 20, 2025
Posts
115
Reaction score
339
Mamia ya watalii wakiondoka nchini Tanzania kukimbia maandamano ya Disemba 9 na utekaji unao endelea nchini. Hapa ni Julius Kambarage Nyerere International Airport, Dar Es Salaam. Hii ni usiku wa leo Novembea 30.
1764570418643.jpeg
ic​
 
Acha uzushi na uwongo. Tanzania haina Hatari kama hii ambayo unajitahidi Kuieneza hapa. Ndiyo maana Mnafyekwa.
 
Mamia ya watalii wakiondoka nchini Tanzania kukimbia maandamano ya Disemba 9 na utekaji unao endelea nchini. Hapa ni Julius Kambarage Nyerere International Airport, Dar Es Salaam. Hii ni usiku wa leo Novembea 30.
Kama ni kweli Kuna kitu hakiko sawa then Kuna jambo baya linaenda kutokea Tz🇹🇿 ( kama ni kweli lkn)
 
JamiiCheck iangalieni hii picha kama ni kweli au imechukuliwa sehemu nyingine
Mbona hata wewe unaweza confirm uhalali wa picha bila kutegemea jamii check,

Picha hiyo ni taswira halisi ya watu waliopanga foleni nje ya Jengo la Tatu la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam, Tanzania.
Picha hiyo ilipigwa takriban tarehe 29 Novemba 2024, wakati wa hitilafu kubwa ya umeme iliyolikumba eneo la uwanja huo na kusababisha usumbufu katika safari za ndege. Umati mkubwa wa watu ulikuwa ukisubiri nje kutokana na kukatika kwa umeme ndani ya jengo la abiria.

Hivyo hii picha sio ya mwaka huu,mtoa madam katukosea sana sisi ba raia
 
Back
Top Bottom