Duh,Mamia ya watalii wakiondoka nchini Tanzania kukimbia maandamano ya Disemba 9 na utekaji unao endelea nchini.
Sa100, Kikwete na ccm wameharibu sana nchi
Duh,Mamia ya watalii wakiondoka nchini Tanzania kukimbia maandamano ya Disemba 9 na utekaji unao endelea nchini.
Hata kwenda vijijini njombe tumeshindwa 🤣🤣🤣.. acha tubaki tuipambanie nchi haina namna!Wanaotoka sio watalii tu hata Watanzania wenye maisha yao walianza muda kidogo watu wanaondoka hapo tunaobaki ni wale wasaga sumu na wachimba chumvi ambao hata nauli ya Maputo Mozambique hatuna...
Upo sahihi mkuu sisi makapuku nauli ya south tu hapo ni shughuliWanaotoka sio watalii tu hata Watanzania wenye maisha yao walianza muda kidogo watu wanaondoka hapo tunaobaki ni wale wasaga sumu na wachimba chumvi ambao hata nauli ya Maputo Mozambique hatuna...
Google Lens inathibitisha picha ni halisi, ni ya Dar.JamiiCheck iangalieni hii picha kama ni kweli au imechukuliwa sehemu nyingine
Watalii wa wapi? Arusha hakuna watalii ,Zanzibar hakuna watalii ,hao watakuwa wazawa wanaenda kijijini kutulia ili kujiepusha na magaidi wa abdul wanaoua watu majumbani.Mamia ya watalii wakiondoka nchini Tanzania kukimbia maandamano ya Disemba 9 na utekaji unao endelea nchini. Hapa ni Julius Kambarage Nyerere International Airport, Dar Es Salaam. Hii ni usiku wa leo Novembea 30.
Huwezi kukaa na familia yako Botswana kwa muda?Mungu ni mwema atatulinda wachimba chumvi nipo Botswana natakiwa kurudi kabla ya hiyo tarehe siwezi kuwa mbali na familia aisee kukiwa bado mambo hayaeleweki..
NAKUMBUKA MUISLAMU MTUKUFU WA DARAJA DIAMOND PLATINUM ALITOROKA KWAKE OTB 29 HADI AIR PORT KWA KUTUMIA AMBULANCE YA WAGONJWA NA KUKIMBILIA NAIROBI NILIMUONA KWA MACHO YANGU.Mamia ya watalii wakiondoka nchini Tanzania kukimbia maandamano ya Disemba 9 na utekaji unao endelea nchini. Hapa ni Julius Kambarage Nyerere International Airport, Dar Es Salaam. Hii ni usiku wa leo Novembea 30.
Mapoyoyo yanalishana ujinga haya Hadi huruma. Eti Yuko mafichoni, unakalia gogo wewe ee?!!!Sasa kama mpaka Siku soma sana, Anaishi mafichoni na ulinzi wake wote huo we unaona kuna usalama hapo
Watasema watalii wanakujaMamia ya watalii wakiondoka nchini Tanzania kukimbia maandamano ya Disemba 9 na utekaji unao endelea nchini. Hapa ni Julius Kambarage Nyerere International Airport, Dar Es Salaam. Hii ni usiku wa leo Novembea 30.
Unataka confirmation gani?Can you confirm this? If kama ni kweli this is no joke man
Kwani watalii ni wazungu tu duu kweli uvccm ni matakatakaMbona sijaona mzungu hapo
Single picture is not enough, nasafiri sana kwenda nje so that picture could mean a lot of thingsUnataka confirmation gani?
Mbona hapo ni terminal 3 ya dar es salaam. Nimeutumia sana over 50 times. Nimeshangaa sanaCan you confirm this? If kama ni kweli this is no joke man
Naskia huko botswana kuna amani kuliko TanzaniaMungu ni mwema atatulinda wachimba chumvi nipo Botswana natakiwa kurudi kabla ya hiyo tarehe siwezi kuwa mbali na familia aisee kukiwa bado mambo hayaeleweki..
This is bad kaka very bad sanaMbona hapo ni terminal 3 ya dar es salaam. Nimeutumia sana over 50 times. Nimeshangaa sana
Acha tabia za ubishi wa huko kwenu Nyamanyere, Sasa hivi watu wengi wenye uwezo wao wanakimbia sio Wageni tu hata wenyejiAcha uzushi na uwongo. Tanzania haina Hatari kama hii ambayo unajitahidi Kuieneza hapa. Ndiyo maana Mnafyekwa.
Wataendaje Canada na hii baridi (winter inanza); wanaenda Thailand, Bali, New Zealand na AustraliaMbona hata Arusha...
Wahindi wenye Hela zao... Toka jana wanavuka mpaka wa Namanga...na magari yao..
Wengi wanaenda Nairobi...
Wengine wanachukua Ndege hapo Nairobi wanaenda kupumzika Canada....
Wengi watarudi January kama hali ikiwa imetulia