Tetesi: Picha: Watalii wakiondoka Tanzania kukimbia maandamno ya Desemba 9

Tetesi: Picha: Watalii wakiondoka Tanzania kukimbia maandamno ya Desemba 9

Screenshot_20251201-175106.png
 
Upo sahihi mkuu sisi makapuku nauli ya south tu hapo ni shughuli
Ndege za SA zimeongezeka bei kutokana na season hii ya December na pia Watanzania wengi kutaka kutoka kwa Tiket moja imekua juu zaidi tofauti na ilivyokua % iliyokua inaongezeka miezi kama hii kipindi kilichopita na nauli ya kuja Tanzania kutoka SA haijaongezeka sana..
 
Mamia ya watalii wakiondoka nchini Tanzania kukimbia maandamano ya Disemba 9 na utekaji unao endelea nchini. Hapa ni Julius Kambarage Nyerere International Airport, Dar Es Salaam. Hii ni usiku wa leo Novembea 30.
Tunaenda kula Christmas moshi tumebadili usafir
 
Kipindi hiki kama mfuko wako unakubali, mambo yasiwe mengi, wewe choropoka na familia yako hadi hali itakapokaa sawa.
 
Mungu ni mwema atatulinda wachimba chumvi nipo Botswana natakiwa kurudi kabla ya hiyo tarehe siwezi kuwa mbali na familia aisee kukiwa bado mambo hayaeleweki..
Kumbe wewe sio mchimba chumvi mwenzetu mkuu.
Una uwezo wa kwenda mpaka Botswana, wachimba chumvi halisi tunakimbilia huku Pandagichiza kwa ajili ya kukimbia ghasia.
 
Kumbe wewe sio mchimba chumvi mwenzetu mkuu.
Una uwezo wa kwenda mpaka Botswana, wachimba chumvi halisi tunakimbilia huku Pandagichiza kwa ajili ya kukimbia ghasia.
Daah mimi ni msaka nyoka original huku imetokea zari tu mwanangu usinitenge wala nini...
17645924274388006815478516782230.jpg
 
Nope AI inafanya makosa machache sana sikuhizi, this day ina correct info haswa google ambao ndio wana hold hizo information
Bado zinafanya makosa mengi, hii ni kwasababu computers zinategemea input data na algorithm, ref GIGO in computability theory.
 
Back
Top Bottom